umepata nguvu mpyaBenfica
Real
Atletico
All win
Nmepata za uso mapemaaa[emoji27] [emoji27] .....wadau ivi kuna dawa kweli ya kuacha kubet??.....hii addiction ya kubet ni hatari sanaDynamo Kiev Win
Real Madrid Win
Atletico Win
Benfica Win
Feyenoord Win
Juventus Win
stake: 5000
Najilipua namna hii kwa leo
Hahaha...bahati yenu, hiyo mechi mie niliwaonya mapema nikasema mcheze under 2.5 maana mziki wa Hull City huwa si wa kitoto.Hii mechi ikiisha hivi benki zinaweza kukosa pesa za kumlipa Kanji. Maana goli zimegoma, win zimegoma, kona zimegoma lkn attempt zipo 20 bila goli hapo ndio inplay hela inapoliwa
Dinamo kyivu wameninyima 900000Nmepata za uso mapemaaa[emoji27] [emoji27] .....wadau ivi kuna dawa kweli ya kuacha kubet??.....hii addiction ya kubet ni hatari sana
Hawa juve duuh!! Boooom!!Arsenal win
Juventus win
Odds 3
Safe %$
poles sana mkuu. yote maisha.Dinamo kyivu wameninyima 900000
Hawa jamaa cjui leo walikula maharage ya wapi........wametembea na mtaji wngDinamo kyivu wameninyima 900000
Majanga pole sanaHivi hawa QUMER wa Meridian kweli kwanini wanakataa kufungua website yao wakati fedha zote zipo kwenye akaunti? mamamaeeeh zao!
Hivi hawa QUMER wa Meridian kweli kwanini wanakataa kufungua website yao wakati fedha zote zipo kwenye akaunti? mamamaeeeh zao!
Mdau nimepigwa za USO ....nataka kurudi kurenew hawafungui kabisa ..... Afu kuna mpunga mrefu tu.... ***** wakirudi tu nautoa umakunduchi wanaletaHivi hawa QUMER wa Meridian kweli kwanini wanakataa kufungua website yao wakati fedha zote zipo kwenye akaunti? mamamaeeeh zao!
Mdau nimepigwa za USO ....nataka kurudi kurenew hawafungui kabisa ..... Afu kuna mpunga mrefu tu.... ***** wakirudi tu nautoa umakunduchi wanaleta
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mdau nimepigwa za USO ....nataka kurudi kurenew hawafungui kabisa ..... Afu kuna mpunga mrefu tu.... ***** wakirudi tu nautoa umakunduchi wanaleta
Wote kijanawadau mbona kwangu hii meridian haifunguki
hwa majamaa siku hizi sijui wamekuwa vp?? mwaka jana na Juzi mpaka statistics ulikuwa unaweza kuangalia hapo hapo siku hz ni majanga tupuMeridianbet kwa kweli ni janga ... mi nashauri weekends tuache kuweka hela huko na tuache kubet huko labda wataona umuhimu wa kurekebisha matatizo tunayolalamika kila cku. Asubuhi"Server Error", mchana "Server Error", jioni "Server Error" na hata usiku "Server Error" grrrrrrr [emoji16][emoji16][emoji16]
wadau mbona kwangu hii meridian haifunguki