Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

NINASHANGAZWA NA WANAO ENDELEA KUING'ANG'ANIA MERIDIANI SIJUI KANJUBAH KAWALISHA TENDE NA HALUA ZA WAPI NINYI?
WAKATI KUNA KAMPUNI KAMA
premierbet
supabet
ambazo ki msingi zina option kibao pendine zaidi hata ya meridian.

ukija ktk swala la kutoa pesa na kudeposit hapa
mkeka bet nadhani anaongoza sasa kila wkend naona wadau mnalialia tu ya nini kukumbatia kampuni isiyo sikia kilio cha wateja?

ni sawa na wale walio kumbatia kampuni moja ya mawasiliano ya simu ambayo kila uchwao ni kupandisha gharama za fifurushi tu wakati

there is a new sherrif in town......

chao.
 
Mkuu kuna option zipo meridian premier hakuna ...kuna zingine zipo premier meridian hakuna... Mostly natumiaga premier... Meridian kuna kapesa tu nilikaaacha just in case nakacheza .... Sasa Leo nimepigwa mapema na lyon.... Na nipo kwenye harusi ya mwana afu ni mwanakamati nkaona aaaaah ya nini kwenda kuweka premier ngoja niicheze ya meridian.... Daaaah ....yaaani hapa marudisha hasara kwenye vinywaji ..... Nipo kamati ya tungi narudisha hasara .......
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ... unafidia kwenye tungi, teh teh teh
 
Hahahahahaaa...
 
hahaahha kwanza hongera kwa kuweka avatar inayokaribiana na ya tpaul
pili pole kwa manyanyaso anayo tufanyia huyu rangi nyeupe.
tatu nimekuelewa hoja yako kuhusu option
ila mimi nimetia nanga kwa premier kwa sasa mpaka hapo baadae itakapotokea vinginevyo.

rangi yake hainiumizi macho
site sio nzito options kibao n.k
 
Hakuna Namna aseee....kilio ni kikali sana..... Nkaona niomdpe tu sura ya furaha.... MTU unajawa na huzuni muda wote kama nini
 
Attachments

  • IMG_20160827_230435.JPG
    IMG_20160827_230435.JPG
    27.3 KB · Views: 49
BARUA YA WAZI KWA RASHFORD
Mpendwa dogo rashford...natumain now upo ktk furaha hapo katika vyumba vya kubadilishia nguo vya uwanja wa hull city..
dogo rashford naandika barua hii nikiwa bado natafakari ulichofanya ktk dakika ya 93... kiufupi goli ulilofunga lilinifanya nipige kelele saana huku baadhi ya wadau wakiwa wanashangaa maana hawakujua kilichopo nyuma ya pazia..rashford umenifanya leo niweze kulala usingiz nilioukosa kwa muda mrefu maana asubuhi ya kesho anakuja mwenye nyumba kuchukua kodi yake.. nashukuru goli lako limenipa kodi ya nyumba..nashindwa nikushukuru vipi..zaid ya kusema asante.. thanks a lot mr rashford..!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ... unafidia kwenye tungi, teh teh teh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...sikuwa nimemwelewa unajua nimecheka kwa sauti ka mwendawazimu.
 
Mdau nimepigwa za USO ....nataka kurudi kurenew hawafungui kabisa ..... Afu kuna mpunga mrefu tu.... ***** wakirudi tu nautoa umakunduchi wanaleta
mkuu, hebu jaribu kuingia naona kama sasa wako hewani.
 
Wanakera sn ... mi hawanipati huko saiv. Watupige za uso bado na logistics za kutandika mikeka ziwe ngumu ... eboh !!!
wamefunguka sasa mkuu....haya masengerema yanakera sana.
 
Back
Top Bottom