Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pyramid nafikiria kumfata mazima 😂
 
Mnao angalia game ya Mamelodi anaweza kushinda mazima?
Hard to predict. Naiangalia hapa lakini sina uhakika sana. Kama option ya corner bado ipo amgalia huko uweke under
Japo refa anapeta na kuwabeba masanda. Ukiamua kujilipua kwa kigezo hicho we jilipue tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…