leo tumepatikanaMmh kama ulipiga combo hapo ni kasheshe ila leverkusen matumaini yapo....
Ni kubinya pumbuh hamna namna😂😂😂leo tumepatikana
madrid kapata goriNi kubinya pumbuh hamna namna😂😂😂
Shots nyingi goals hamna🤨Kweli man u iliyo sasa bora hata tabora united yani gori wanafungwa dk ya 5 first half wanashindwa kutafuta hata sare
hiyo option naichunguliaga mbali tu siitaki kabisaaaKanji Baba tusamehee tumekosa sisi, tumekosa sisi, tumekosa baba 🙏 Psg umemuhonga sh ngapi baba mbona leo Kawa mdebwedo watu wanajipigia tu! Madrid nae msala Bayern 3 nae hoiiiii! Mkiniona tena nimebet ushindi mje mnishike makalio
Hivi mkuu melbet wapo vizuriWenye roho ngumu mpeni 1H Al Nasri ashinde 1H ana odds 3.64 ila kashapigwa 1.
Nataka nijilipue ila kwangu wamefungia kubeti hawaachii.View attachment 3196817
Mkuu hivi melbet Hawwasumbui kama wenzao huduma za malipoHivi inachukua muda gani hadi uanze kuona dalili za UTI toka ulipuke?
Natumia toka 2019 hawasumbui. Tena siku hizi payment method zipo za mobile na mawakala.Mkuu hivi melbet Hawwasumbui kama wenzao huduma za malipo
Poa nilikua nauliza maana hizi kampuni za mrusi ni shida aisee vipi kuhusu makato ya kuweka pesa ni kama ya kampuni kama sportybet au Yako juuNatumia toka 2019 hawasumbui. Tena siku hizi payment method zipo za mobile na mawakala.
Uchaguzi ni wako.
chagua kampun ambayo haina shida ktk kuweka na kutoa.Mkuu hivi melbet Hawwasumbui kama wenzao huduma za malipo
Bro wee weta mechi tatu za over 1.5 tuu hizi direct win shidaleo ni mwendo wa over 0.5