Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Natumia 1xbet nimedeposit tangu asubuhi pesa hajafika naombeni namba za hawa katavi gaming ltd niwapigie
Mimi toka tar 22 februari pesa haijafika mpaka leo.
Ukiwaambia 1xbet wakupe mawasiliano ya hao Katavi hawakupi sanasana watakwambia utume email wanashughulikia wenyewe.

Kibaya zaidi hao Katavi hawapo hata mitandaoni labda utapata contact zao sana sana utamkuta somebody Mwakibete ambaye ameshawahi kufanya kazi hako.
 
Mbona

ni kazi duh
 
Real Madrid WIN

GmImjKeWoAAflY9.jpeg
 
BETWAY wamezingua system zao uwezi fanya chochite zaidi ya kuplace bet tuu. Uwezi cashout wala kuona progress za mkeka wako
 
Lazima wawe na namba ya ofsi
Bosi hao Katavi Gaming Ltd nimesaka namba yao nimekosa.
Merchant wengine kama selcom, M Lipa, Datavisint, kupata namba zao ilikuwa ni rahisi unazikuta mtandaoni kuanzia za ofisi mpaka watendaji na tulikuwa nazo.
Hao Katavi Gaming namba zao wanazo wenyewe 1xbet.
 
Jaribu kuwasialiana na 1xbet watakusaidia zaidi
 
Usiku mwema karibuni bombay tule pilipili😁😁😁

Madrid nipa bilion 50 leo 😄😄😄
 
Back
Top Bottom