Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Comeback ya balaa. Ila kama upo betpawa hiyo tayari imesha andika won kwa sababu ya option yao inaitwa 2up
Dah hatari sana.bado baka akikaa vibaya wahuni betis wanafunga.game nayo hiyo sio ya kuendea kichwa kichwa,ila magoli over 2.5 inatoa
 
Jaribu kuwasialiana na 1xbet watakusaidia zaidi
Wale wa live chat hawashughulikii miamala, ukiripoti tatizo na wao wanakwambia utume email ambayo inashughulikiwa na kitengo husika.
Hao sasa ndio tunawasiliana kwa email kila wakati na nikicheki kwenye account inaonesha ombi lipo active na on progress.
Tena kuna muda wao ndio wananitumia email kabla sijawakumbusha.
 
Mimi toka tar 22 februari pesa haijafika mpaka leo.
Ukiwaambia 1xbet wakupe mawasiliano ya hao Katavi hawakupi sanasana watakwambia utume email wanashughulikia wenyewe.

Kibaya zaidi hao Katavi hawapo hata mitandaoni labda utapata contact zao sana sana utamkuta somebody Mwakibete ambaye ameshawahi kufanya kazi hako.
Mawakala wengi ni wahuni wakifilisika

Jitahidi kutumia mawakala waliowekwa kwenye app yao
Mi namtumia ROMANO yupo very smart
 
Attachments

  • 8CB9DEAB-B928-4C8E-A62F-2ED23EDC12D8.jpeg
    8CB9DEAB-B928-4C8E-A62F-2ED23EDC12D8.jpeg
    157.4 KB · Views: 36
Mawakala wengi ni wahuni wakifilisika

Jitahidi kutumia mawakala waliowekwa kwenye app yao
Mi namtumia ROMANO yupo very smart
Huko 1xbet nilitokaga kwa ajili kuna wakala aligoma kutoa hela kisa kuna miamala nilifanya kwa mobile payment nikaamua kuhamia melbet.

Kilichonirudisha huko kuna pesa 1xbet walinipa kwa ajili ya siku ya kuzaliwa ndio nikafikia hadi kudeposit kwa tigopesa.
 
Hali ni mbaya Barcelona ka draw🙄 nimebaki na mkeka mmoja tu kurudisha pesa yangu
 
Attachments

  • Screenshot_20250405-234639_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250405-234639_SportyBet.jpg
    102.4 KB · Views: 26
  • Screenshot_20250405-234551_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250405-234551_SportyBet.jpg
    91 KB · Views: 25
Bora nimerudisha sh7000 ya leo maana hali ni tete
 
Attachments

  • Screenshot_20250406-003504_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250406-003504_SportyBet.jpg
    93 KB · Views: 32
  • Screenshot_20250406-003449_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250406-003449_SportyBet.jpg
    202.2 KB · Views: 27
Huko 1xbet nilitokaga kwa ajili kuna wakala aligoma kutoa hela kisa kuna miamala nilifanya kwa mobile payment nikaamua kuhamia melbet.

Kilichonirudisha huko kuna pesa 1xbet walinipa kwa ajili ya siku ya kuzaliwa ndio nikafikia hadi kudeposit kwa tigopesa.
Kampuni zote za mrusi ukichanganya miamala wakati wa kudeposit ujue kwenye kutoa shughuli unayo

Hakikisha wakati unafanya deposit kwa njia nyingine basi acc iwe no ziro balansi

Mkuu hizi kampuni za Mrusi ukiondoa Betwinner tunalazimisha tu kuzitumia lakini hazipo kihalali, hizi njia za mawakala na mobile wanaziweka kinyemela tu
Na siku ukidhulumiwa hatuna pa kwenda kulalamikia
 
Wale wa live chat hawashughulikii miamala, ukiripoti tatizo na wao wanakwambia utume email ambayo inashughulikiwa na kitengo husika.
Hao sasa ndio tunawasiliana kwa email kila wakati na nikicheki kwenye account inaonesha ombi lipo active na on progress.
Tena kuna muda wao ndio wananitumia email kabla sijawakumbusha.
Mi naona paripesa haina tofauti sana na 1xbet ,mi nashauri watu watumie paripesa kama ni wapenzi wa 1xbet.

Tumieni paripesa ,mbadala wa 1xbet ,pesa inaingianna kutoka vzuri sana .na sioni utofauti wa hizo campuni mi naona wamefanya mbadala wa jina tu
 
Mwisho wa siku nao ni wale wale tu, wote hawana tofauti na 1xBet, hakuna alie kwa halali Tz
 
Mkuu jana nilikua busy na harusi nikakosa kabisa muda muafaka wa kusaka odds
Hata hivyo nadhani ningechemka maana toka juzi nilikua nafikiria kumfuata mazima mmoja kati ya Arsenal au Madrid au Barca..... na wote wamechemka😂

Ntakuja na ubashiri baadae
Hatari jana muhindi kafurahiiii sana...🤣🤣🤣🤣
Nahitaji game ya magoli 2, game tatu tuu mkkuu
 
Back
Top Bottom