2025 kama unafanya deposit ya stake kupitia kwa agent wewe pia utakuwa na mjinga, kwa sababu unaisaidia kampuni husika kukwepa kodi na mkono wa serikali.
Kwanini bado mnazikomaa nazo?
Kuwa na tahadhari sana kwa kampuni au mtu yeyote anayeficha kazi zake zisionwe na serikali.
Huku tuna bet at our own RISK mkuu.... wakamalia wageni ndio hawajajua bado.
Paripesa, 22bet na Helabet washanidhulumu hela zangu nikapiga kimyaa
Mimi binafsi nimekua addicted na 1xbet kwasababu ndio ninapo patia zaidi hela ndogo ndogo.
Nikiwa na balance hata ya 100k nirahisi zaidi kuwa unatafuta 10k-50k siku ukibet ukiwa 1xbet kuliko ukiwa Betpawa
Wana machaguo mengi yanye odds ndogo ndogo na probability ya kutoa(not guaranteed though)
Stake za kuanzia 200k na kuendelea hapa Betpawa wanahusika kwasababu hakuna ubabaishaji hata uwapige mamilioni
Hapa ni mwendo wa Direct win, Dc na Over/Under tu
Mikeka yangu yote ya KULIPUKA nakwenda na Betpawa where my money is safe
Niki deposit let say 10k,
kwa 1xbet inakua rahisi zaidi kuipandisha hadi kufika 100k kuliko kuipandisha ukiwa na akina betpawa
Changamoto ya kampuni za HALALI ni waoga sana KULIWA na wanabana sana machaguo
Kampuni magumashi hawaogopi kuliwa sababu ukiwapiga parefu HAWAKULIPI😂
Kupanga ni kuchagua