stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,998
- 4,256
Esperance leo anaweza kupata goli mbele ya mamelodi?
Vipi Al hilal kupata goli mbele ya al ahly
Vipi Al hilal kupata goli mbele ya al ahly
Kwa hiyo kanji anatutega Lakini nitajarbu kuweka dau dogo kwa pyramids ili nijarbu bahatAtadefence tu leo
Kazi alishaimaliza cairo alishinda goli nne
Huu mtego wa kanjiMadrid kapewa odds 3
Katuchimbia kaburiHuu mtego wa kanji
Bayern wa kuunga unga ashinde kwa inter milan du! Lakn inawezekanaDirect win kwa bayern,arsenal win with GG pesa hiyo
Sportybet nao wameanza kuwa wahuni na odds zao za kilofaHuku tuna bet at our own RISK mkuu.... wakamalia wageni ndio hawajajua bado.
Paripesa, 22bet na Helabet washanidhulumu hela zangu nikapiga kimyaa
Mimi binafsi nimekua addicted na 1xbet kwasababu ndio ninapo patia zaidi hela ndogo ndogo.
Nikiwa na balance hata ya 100k nirahisi zaidi kuwa unatafuta 10k-50k siku ukibet ukiwa 1xbet kuliko ukiwa Betpawa
Wana machaguo mengi yanye odds ndogo ndogo na probability ya kutoa(not guaranteed though)
Stake za kuanzia 200k na kuendelea hapa Betpawa wanahusika kwasababu hakuna ubabaishaji hata uwapige mamilioni
Hapa ni mwendo wa Direct win, Dc na Over/Under tu
Mikeka yangu yote ya KULIPUKA nakwenda na Betpawa where my money is safe
Niki deposit let say 10k,
kwa 1xbet inakua rahisi zaidi kuipandisha hadi kufika 100k kuliko kuipandisha ukiwa na akina betpawa
Changamoto ya kampuni za HALALI ni waoga sana KULIWA na wanabana sana machaguo
Kampuni magumashi hawaogopi kuliwa sababu ukiwapiga parefu HAWAKULIPI😂
Kupanga ni kuchagua
Lakn sporty bet odds zinaenda kasi ya radiSportybet nao wameanza kuwa wahuni na odds zao za kilofa
Unatakiwa uwahi kuchezesha kamali yako kabla ya odds alhazijabadilika odds toka 2 hadi 1.15 tena hiyo ni direct win🤣🤣🤣Lakn sporty bet odds zinaenda kasi ya radi
Anasahau kuwa hali ilikuwa nafuu lakini imnabadilika kila uchaguzi kuelekea kwenye total vuruguKaribuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...
I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...
II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....
H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...
A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Unatakiwa uwahi kuchezesha kamali yako kabla ya odds alhazijabadilika odds toka 2 hadi 1.15 tena hiyo ni direct win
Unatakiwa uwahi kuchezesha kamali yako kabla ya odds alhazijabadilika odds toka 2 hadi 1.15 tena hiyo ni direct winLakn sporty bet odds zinaenda kasi ya radi
Exactly trueMadirid leo piga ua anashinda au anapata draw uhakika kabisa