Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakubwa kuna mwingine anatumia hii kampuni ya Melbet na anafanya transaction vyema...?
Nime withdrawal kuanzia jana usiku hadi muda huu naambiwa tu transaction fail, provider ame decline reason ni error kwenye transaction
Hii ipoje wanazi wa Melbet
 
Attachments

  • Screenshot_20250409-085933.png
    Screenshot_20250409-085933.png
    165.5 KB · Views: 31
Wakubwa kuna mwingine anatumia hii kampuni ya Melbet na anafanya transaction vyema...?
Nime withdrawal kuanzia jana usiku hadi muda huu naambiwa tu transaction fail, provider ame decline reason ni error kwenye transaction
Hii ipoje wanazi wa Melbet
Hivi kwanini mnaingia kwenye makampuni yenye usumbufu pamoja na kuonywa,mkikwama mnaanza kusumbua 🤣🤣🤣🤣🤣 mfanye tafiti na hizo kampuni zisizoelekewa
 
Leo najaribu basket ball lakn liwalo na liwe
Zina uhakika sana kuliko hata football mimi huwa nachanganya game zote basketball, tenesi na soccer na zinanitoa vizuri mfano mzuri game ya tenisi jana nilimpa dmitry ashinde na akashinda na hapoel kwenye basketball nae akashinda
 
Wakubwa kuna mwingine anatumia hii kampuni ya Melbet na anafanya transaction vyema...?
Nime withdrawal kuanzia jana usiku hadi muda huu naambiwa tu transaction fail, provider ame decline reason ni error kwenye transaction
Hii ipoje wanazi wa Melbet
Kabla ya kukushauri utuambie ulideposit bei gani na ukabet bei gani kabla ya kuomba kutoa hiyo 47,500.
 
Kuna wadau humu walikua wanaisema haina changamoto ndio maana nikasema acha nijaribu kuweka 10k ,nime win kutia sasa ndio imekua msala
Hivi kwanini mnaingia kwenye makampuni yenye usumbufu pamoja na kuonywa,mkikwama mnaanza kusumbua 🤣🤣🤣🤣🤣 mfanye tafiti na hizo kampuni zisizoelekewa
 
Mkuu leo tunaendaje maana direct win leo hapo kwenye psg na mechi ya Barcelona kama pana utata maana kanji sio mrahisi kiivyo leo ana wakala wake hapo kwenye mechi hizo mbili
Acha uoga mkuu, PSG na Barcelona mpaka fainali
 
Wakubwa kuna mwingine anatumia hii kampuni ya Melbet na anafanya transaction vyema...?
Nime withdrawal kuanzia jana usiku hadi muda huu naambiwa tu transaction fail, provider ame decline reason ni error kwenye transaction
Hii ipoje wanazi wa Melbet
Unabetije kampuni linaloujumu uchumi wa nchi
 
Kuna wadau humu walikua wanaisema haina changamoto ndio maana nikasema acha nijaribu kuweka 10k ,nime win kutia sasa ndio imekua msala
Okey sawa ila umakini mkuu tangu nimeanza kubashiri sina muda mrefu ila kampuni nayonona ina uhakika kwenye kutoa na kuweka pesa sportybet, betpawa hizi mimi nimezitumia ni sure 💯💯💯💯 ofcosuse kinachowafanya watu kuhama kampuni ni condition za odss ila nashauri kabla ya kufanya hivyo zingatia ukishinda unapataje pesa yako kwa urahisi ndipo unakua na kampuni unayoiamini
 
Back
Top Bottom