Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Humu tu
IMG_6167.jpeg
 
Wadau anayeangalia mechi ya Barca na Dortmund zimeongezwa dakika ngapi?
 
Wakubwa kuna mwingine anatumia hii kampuni ya Melbet na anafanya transaction vyema...?
Nime withdrawal kuanzia jana usiku hadi muda huu naambiwa tu transaction fail, provider ame decline reason ni error kwenye transaction
Hii ipoje wanazi wa Melbet
Kuna shida kati ya melbet na namba uliyotumia kuwithdraw. Jaribu kudeposit kiasi fulani kwa namba ya mtandao mwingine, betia yote halafu halafu toa. Mimi iligoma kama wewe ndio nimetoa kwa namba ya mtandao mwingine na imetoka.
Screenshot_20250410-065229_MelBet.jpg
 
Wakuu,kwema,naomba mwenye namba ya etooo,au Lukas sigala wakala 1xbet tz
 
Back
Top Bottom