Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ngoja kwanza nile hiki ki elfu 6 nipate pesa ya bando la leo
Pesa ya vocha nilisha
Itoa...sasa hivi nitafute pesa ya supu na bia tu
 
Attachments

  • Screenshot_20250410-195427_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250410-195427_SportyBet.jpg
    158.7 KB · Views: 19
Pesa ya supu hii na bia mbili hii inakuja
Pesa ya supu na bia 2 imesha ingia sasa hivi natafuta pocket money na pesa ya matreni kwa ajili ya kesho
 
Attachments

  • Screenshot_20250410-223636_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250410-223636_SportyBet.jpg
    172.9 KB · Views: 31
Kuweka na kutoa Mitandao yote Sasa
👇
DBBET📌📶❗

PROMO CODE 👉 KASONGO❗📶

Haina Makato uhakika wa deposit 24/7 mitandao

Kujiunga 👇bofya hapo
db-bet.co/BUZA
Promo code jaza: KASONGO❗📶
Kupata App bofya 👇
 
Huyu mtu nili ignore post zake alaf nashangaa zinaonekana
Shenzi sana huyu jamaa hayo makampuni ya kirusi sio ya kutumia imagine mtu udeposit hata tu 1m halafu withdrawal unakuta hamna na pakulalamikia hakuna aisee mbona utakua chizilakini yeye ndio anayapigia promo kisa anapata vijisenti kutoka Kwa hao matapeli wenzie
 
Hao wajinga ndio waliwao
 
Mimi kampuni zangu mbili tu ambazo meridian bet na sporty bet pesa yangu ipo mikono salama labda niliwe kihalali sio kuliwa na kampuni kitapeli
asilimia kubwa ya makampuni yanayotoa ofa hadi laki moja ni utapeli
 
Back
Top Bottom