Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwanini bado mnazikomaa nazo?
Kuwa na tahadhari sana kwa kampuni au mtu yeyote anayeficha kazi zake zisionwe na serikali.
Mimi kampuni zangu mbili tu ninazo tumia meridian bet na sporty bet tofauti na hapo Bora nisibet sababu natwe kampuni kama za mrusi miaka na miaka hazitaki kulipa Kodi Ili iendeshe shuguli zake kihalali Kila siku kutumia mawakala tu mtu ukitapeliwa na kampuni kama hizo ni ujinga wako
 
Hakika matokeo ya weekend hii ya time kubwa ni vilio vitupu. Nashauri afisa yeyote asifanye rebet kama mkeka umechanika. Tuiache leo na kesho ipite.
Tijipange kwa wekeend ijayo.
Jana nimecheza kujifurahisha hela supu imerudi sema stake ilikuwa ya uoga uoga
 

Attachments

  • Screenshot_20250407-094439.png
    Screenshot_20250407-094439.png
    142.1 KB · Views: 26
Betting ni ya ajabu sana! Nimeliwa mikeka ya odds 2 mpaka tatu yenye Stake kubwa leo halafu eti nimekuja kula mkeka ambao nilikuwa nimebakiza mia 2 nimekata tamaa nikajibonyezea tu over 2.5 mechi 10 za sa tano mpaka sa saba usiku na zimetoa zote odds 2069🙌 ningeweka hata elfu 5 tu hapo leo kanji angenitambua 😂View attachment 3295413
duh!.
odds za kushiba hizo
 
Kwa aliye jaribu kutumia sokabet naomba kuuliza kama wapo vizuri kwenye malipo
 
duh!.
odds za kushiba hizo
Yan ni bahat tu na ukiangalia hzo timu zilivyotoa magoli ndo utajua siku ya kula utakula tu maana kuna timu mpaka dakika ya 80 ilikuwa na goli moja ikaja kufunga magoli mawili kiajabu ajabu tu! Na hzo timu ni ngumu kutoa magoli kama unavyojua ligi ya Brazil, Uruguay, na Venezuela na Argentina ilivyo ngumu ila over 2.5 imetoa
 
Muda wa kuwa karbu na kitu kinaitwa MY BETS umewadia ni mwendo wa request cash out ikikufaa pita nayo usisubir kanji akupitie
 
View attachment 3295491
GAME ZA LEO PARIPESA

Booking Code 👉 RD4ZK

Jisajili PariPesa Hapa ⤵️⤵️
https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code Weka👉 TIPS2424

Deposit Upate Bonus Ya Mpaka 300,000 Bure
776n4j.jpg

6 ODDS BOOOM ✅✅✅✅✅

618K PAID OUT ✅✅✅✅💯✅✅

Tumia Promo Code TIPS2424 Kujisajili PariPesa.

Jisajili PariPesa Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code👉 TIPS2424

Deposit Upate Bonus Ya Mpaka 300,000 Kwa Mara Ya Kwanza.
 
Back
Top Bottom