Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Atletico Goianiense v Ceara CE 1/X ODDS 1.32
General Caballero v Sol de America Y ODDS 1.58
total odds 2.07
stake 25k
rat tsh.51750
Jah bless,
huo wakulalia nisije nikampa kanji hela zake zote tena.
 
Kwa kipigo nilichoambulia jana cha tiketi 6 zote LOST nimeamua kutafuta mbadala wa tatizo langu nimeenda www.clips9.com nikaandika jinsi ya kutabiri mpira wa miguu na (marehemu Sheikh Yahya Hussein nimeipata clip sasa ngoja kesho atanitambua huyu Khanjibhai.
 
ahhaha sasa mkuu huko unakoenda utaishia kuwa mama wale jamaa wanao tafuta rupia.
 
tena SUMVE hospital iliyopo jijini mwanza
Nipo nayo jirani kabisa ...hahaaaahaaaaa ni hospitali ya kanisa katoliki .....uwiiiiiii..haipo jiji....IPO wilaya ya kwimba tarafa ya ngulla kata ya sumve .....bangosha Nalisata....... Mweeeee mweeeee mweeeee...... Ndio ofisi aseeeee
 
Nipo nayo jirani kabisa ...hahaaaahaaaaa ni hospitali ya kanisa katoliki .....uwiiiiiii..haipo jiji....IPO wilaya ya kwimba tarafa ya ngulla kata ya sumve .....bangosha Nalisata....... Mweeeee mweeeee mweeeee...... Ndio ofisi aseeeee
Hahahaa..watu wanachukulia poa hii kitu, mid nishaacha kuiita kazi naiita shughuli tena nzito ka kubeba zege, shughuli hii sio rafiki kabisa kwa afya na ukitaka kuamini hilo weka dau kuanzia 200K uone.
 
Ndugu zangu kuna tetesi jf itafungiwa kwa mda hali ya kisiasa si njema tuombe sana Mungu aepushe hilo hapa wengine ndo kaa yetu mjini na ada tunazipata hapa


duuh aiseee, tusifikie huko !!! hatujazoea maisha hayo.
 
Pole mkuu, atleast ulipata ya kuanzia leo, ngoja niziangalie hizo za US Open nione tucheze vipi though njia nzuri ya kupiga pesa kwenye tennis huwa ni kucheza online zile games za a specific set kwa kuangilia kiwango cha mchezaji na nani anasave.



Mi tennis huko mmeniacha ... nitasubiri tu football & basketball kesho
 
Mshana J R alianzisha Uzi wa USIKU UNA MACHO ..... Ndio haya sasa..... Mamaaaeeeee mjomba umezuia siasa tuachie jamiiiforum yetu aseeee...... Hata Mungu ana wapinzani na Hawaui.....


Hahahah, ajabu sn ... inashangaza sn kuona binadamu anataka aonekane malaika, asikosolewe, asipingwe. Very unfortunate
 
Hahahah, ajabu sn ... inashangaza sn kuona binadamu anataka aonekane malaika, asikosolewe, asipingwe. Very unfortunate
Let us keep on praying...everything will be okay, tears may flow all over the night but joy comes in the morning, ukweli bila huu mchezo sina shule narudi kijijiniiii sasa hata investment sina anyway all is well.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…