Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 5,609
- 10,491
Subiri wekeend mkuu mechi bwerereeee leotafadhali ndugu zangu naombeni odd 2 tu leo naanza rasmi kuweka 100k
Utaumiza kende zako buree
Subiri wekeend mkuu mechi bwerereeee leotafadhali ndugu zangu naombeni odd 2 tu leo naanza rasmi kuweka 100k
sawa wajinaSubiri wekeend mkuu mechi bwerereeee leo
Utaumiza kende zako buree
tafadhali ndugu zangu naombeni odd 2 tu leo naanza rasmi kuweka 100k
thanks kaka,, hiv mkeka bet wanaekaga za basketHahaha ... all the best mkuu!
Km ni Odds mbili, fuata basketball ya bankoCep ... 1.92x1.92 = 3.69
thanks kaka,, hiv mkeka bet wanaekaga za basket
Ha ha ha, mkuu sasa hivi ni hatari sana, maandishi yangu yaliwauzi mamods mkuu.
pamoja mkuu well notedYes zipo ... zinachezwa ucku mkubwa, saa 8
... so unaweza ukaanza na football then ukiwa unaenda kulala, unatupia faida uliyoipata.
![]()
Ha ha ha, mkuu sasa hivi ni hatari sana, maandishi yangu yaliwauzi mamods mkuu.
Tatizo lako kule mapenzini unashinda sana...! hahahaaaha
Hii thread yetu huwaga haimsababishiagi mtu ban. Na nadan mamoderators inabidi watupe bonus maana inawafanya watu wengi watembelee JF kila siku kwa sababu ya hii thread.
Maandishi gani mkuu? ...
Wadau hii mechi Ya Uganda vipi? . Niwape GG au draw full time.
Mjini kuna nn tena? Naona wazee wa siasa wameingia humu. Tupeni maelekezo jamani tubet kama maandamano yatakuwepo au hayatakuwepo.
Poa kamanda. Ngoja niwape GG. Maana nafsi inaniambia kama mechi itaisha 1-1. Ila mtu mweusi usimuamini sana. Naweka 50k tu.Most likely Uganda wakashinda hiyo game. Ila GG nafkiri ni option nzr pia.
Mi nimeona nipumzike kwanza.......japo kubet siachi
Hatareee sn ... unamla 50K, unampa 100K
[emoji23] [emoji23]Hahaha...chukua hapo juu zipo za kumwaga Mr Kanjubay maana hiyo avatar yako sijui unadhani ndo atakuonea huruma, watu mnavituko sana aisee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wakiweka hiyo option nampa magufuli cap fastaaaa. kwani nini bwana.? ingawa mimi UKUTA ila pesa ilipo ndo nilipo. ila pia GG, 28+ pia zinaweza kuwepo.