Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

samahan wadau
naomba kuuliza nawezaje kuweka pesa kwenye wallet ya m bet..nna account kabisa
 
Ingia kwenye akaunti yako nenda pale kwenye akaunti kuna sehemu ya kudeposit utaweka kiasi watakupa reference no tumia hiyo either kwa tigo mpesa etc
 
Mda mwingine unaweza hisi kuna ndumba aiseee ... daaaah
Mjomba acha tu ..kamtaji kalipatikana ka 20, nkaweka handball over 50.1 ...wametoa wote odds nzuri tu 1.46 ,1.42 mechi 3 ..nkaongeza na kikapu mademu wawili.... Ameua huyu mmoja nipate zangu mtaji maridhawa.
 
Hatareee sn mkuu ... ndo maana ile 'workplan' ya yule mdau aliyeletaga hapa ilinishinda aisee ... ukimla leo kesho anachukua zote, daaaamn. Halafu kwa timu unazoziamini.
 
Kwa kuamini kuwa Playoffs zitakuwa na ushindani mkubwa, naamini watakaziana ... basi leo ngoja nifanye kazi ya kuyabinyaaaa ... odds 5.74

upload_2016-8-31_12-20-5.png
 
Hawa waFilipino nimewapa under 233.5pts, lkn kwa kasi wanayoenda nayo, watachana ...

upload_2016-8-31_12-46-31.png
 
Hatareee sn mkuu ... ndo maana ile 'workplan' ya yule mdau aliyeletaga hapa ilinishinda aisee ... ukimla leo kesho anachukua zote, daaaamn. Halafu kwa timu unazoziamini.
Chisasi(Jesus kinigeria)...... Mdau acha tu niliweka 10000 nifate ile "BUSINESS PLAN"... unapata odds NNE Leo ..kesho unapigwa na keshokutwa unayoroshwa mtondogoooooo unaoteamo ... Unaanza kupigwa tena .... Nna wiki mbili sasa nafanya hiyo makitu lakini mtaji upo pale pale 17,000 .... Najiuliza niendeleee na odds 4 au!!?? ....
 
Wasifikishe vikapu 53 hiii quarter ya mwisho na kitu ambacho wamevuka kila quarter .......

Mkuu nimeshahesabu loss hiyo ... nlidandia treni kwa mbele (through InPlay) nikaona 233.5pts ni parefu hawawezi kufika ...kumbe duuh !!!
 
Chisasi(Jesus kinigeria)...... Mdau acha tu niliweka 10000 nifate ile "BUSINESS PLAN"... unapata odds NNE Leo ..kesho unapigwa na keshokutwa unayoroshwa mtondogoooooo unaoteamo ... Unaanza kupigwa tena .... Nna wiki mbili sasa nafanya hiyo makitu lakini mtaji upo pale pale 17,000 .... Najiuliza niendeleee na odds 4 au!!?? ....

Hahahah ... mkuu hiyo plan ni nzr sn, I have no problems with it. Ila aisee inatakiwa uwe na consistency ya kufa mtu ...
 
Back
Top Bottom