Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Wiki mbili faida 7000!!?? Consistency ni tatizo juzi nilibakiwa na risasi moja nkapata 22000 .... Jana imebaki 17000 Leo nkipigwa inabaki 12000 .... Hivyo Leo na kesho sitakiwi kupigwa.....Hahahah ... mkuu hiyo plan ni nzr sn, I have no problems with it. Ila aisee inatakiwa uwe na consistency ya kufa mtu ...