Tigo wanasumbua sana Mimi 80000 imepotea sasa miezi 3Natumia tigo pesa kuweka hela premier bet hazifiki, mwezi sasa tigo wananizungusha na masaa yao 72, premier nao nimewaandikia email wapo kimya, hv natoka vp katika hali hii??
Mimi pia nimepata shida hiyo toka jana, ninachofanya naandaa mkeka halafu naenda kwny kibox cha kuandikia website kwny kona kulia na refresh halafu nawahi sehemu ya kuandika stake najaza kiasi cha fedha, inataka timing sana ndipo inakubali.Primier bet sijawaelewa..sasa hivi ukitengeneza mkeka ukitaka kuweka stake ...haiwezekani mpaka upunguze timu...kuna mtu amepata shida hii na ametatuaje?
Mimi mwezi wa pili sasa, sijui tuwapigie simu kuwaeleza nia ya kuwashitaki kwamba wanatuibia hela??Tigo wanasumbua sana Mimi 80000 imepotea sasa miezi 3
Yaan wanaboa kinomaHizi betting company za Tz vurugu mechi....Huduma kwa Wateja wamefeli
Nikweli tuwashitakiMimi mwezi wa pili sasa, sijui tuwapigie simu kuwaeleza nia ya kuwashitaki kwamba wanatuibia hela??
Tigo wanasumbua sana Mimi 80000 imepotea sasa miezi 3
Primier bet sijawaelewa..sasa hivi ukitengeneza mkeka ukitaka kuweka stake ...haiwezekani mpaka upunguze timu...kuna mtu amepata shida hii na ametatuaje?
Hilo tatizo lipo kwenye mtandao wa Tigo wenyewe mda mwingine net inasumbuamimi nimedeposit muda co mrefu haijachukua ata dk 5 imoooooo
Tena premier hamna 18% wala nn aisee...mtandao uko poa wikend na ck zngne hawa meridian wamezd usumbufmkuu nimetandika mkeka mida hii cjapata tatzo lolote premierbet.... bye bye meridianbet na sever error zenu
BET WON... hivi kumbe hii inawezekana... hii option ali introduce mtoto wa nzi juzi kati iko poa sana na odds mlima kama hizo apo timu 8 odds 57.7 ..... kwa ambae hajaelewa hapo inatakiwa kipindi chochote kitoe 2+
Natumia tigo pesa kuweka hela premier bet hazifiki, mwezi sasa tigo wananizungusha na masaa yao 72, premier nao nimewaandikia email wapo kimya, hv natoka vp katika hali hii??
View attachment 391640 Hata mimi hapo chupu chupu
Australia bana hawa iraq kila siku wanalipuana huo mpira wanacheza wapi mshindwe kuwafunga?
Asante kwa kuturudishia imani juu ya hii option ... mi nlishagive-up. naombeni timu 3-4 za leo ambazo naweza tia hii option. Nina kilo hapa ninashida na ticket ya Fastjet for next week.