Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ivi nini maana ya EVEN NA ODD na mfano mechi ikawa 0-0 inakua odd au even na mfano 1-1
 
0-0 ni EVEN, na 1-1 ni ODD. Even ni namba inagawanyika kwa mbili ila kwny betting sijui kwa nini 0 wanaichukulia kama even, ODD ni namba haigawanyiki kwa mbili
 
1472729453104.png
Nimeshagive Up Atakaeamua Afunge Australia Au Japan Poa Tu. Ila Rroho Inauma.
 
0-0 ni EVEN, na 1-1 ni ODD. Even ni namba inagawanyika kwa mbili ila kwny betting sijui kwa nini 0 wanaichukulia kama even, ODD ni namba haigawanyiki kwa mbili
Sorry 1-1 pia ni EVEN
 
Atleast nipe mifan
Mfano 1-1 ni jumla ya magoli 2 ambayo ukigawanya kwa mbili unapata 1 kamili,hiyo ni EVEN. Ila 2-1 jumla ya magoli ni 3 ambayo haigawanyiki kwa mbili hivyo ni ODD. Zero pekee yake ambayo haigawanyiki kwa mbili lakini ni EVEN kwny betting
 
[emoji123]
 
Atleast nipe mifan

We chukua jumla ya magoli kwenye mechi husika, ukiona inagawanyika kwa mbili ujue hiyo ni EVEN (namba shufwa), kama haigawanyiki kwa mbili ujue ni ODD (namba witiri) ...

Mf. EVEN - 0, 2, 4, 6, 8 etc
ODD - 1, 3, 5, 7, 9 etc

Kama ulisoma hesabu utakuwa umenisoma.
 
Yap
 
Mkuu double chance ikoje kwenye m-bet? Ahsanteh
 
1472737045677.png
wadau premier bet account yangu inasoma negative balance, na ilikuwa haina kitu hapo maana yake ni nn??
 
Chief, ina maana hakuna mechi zinaishaga draw? ... ishawaliza sn wana hiyo option. Unawapa ashinde yoyote lkn mechi inaisha draw.
 
Back
Top Bottom