Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Mkuu siumeniambia hapo ashinde yeyote au itoke draw
12 - maana yake ashinde yoyote.
Wewe umesema ni option rahisi, lakini kumbuka kuna mechi nyingi tu matokeo huwa draw "sare"
Mkuu siumeniambia hapo ashinde yeyote au itoke draw
Ni kweli mkuu ni vile tu sikukuelewa vizuri.ahsanteh12 - maana yake ashinde yoyote.
Wewe umesema ni option rahisi, lakini kumbuka kuna mechi nyingi tu matokeo huwa draw "sare"
Hilo gundu sasa -nega alafu pesa nyingi hivyo warukie hewan customer careView attachment 391750 wadau premier bet account yangu inasoma negative balance, na ilikuwa haina kitu hapo maana yake ni nn??
Aisee mbona mimi siioni option ya double chance kwenye m-bet, naomba kuelekezwa mkuu!View attachment 391749
1X - wa nyumbani ashinde ama atoe sare
X2 - sare ama wa ugenini ashinde
12 - yoyote ashinde, mechi isiishe sare
Aisee mbona mimi siioni option ya double chance kwenye m-bet, naomba kuelekezwa mkuu!
Bhaaas wadau nimeshaiona, samahani kwa uvivu wangu wa kuchunguza kwa umakini, just ingia kwa menu utakutana na vurugu zote!M bet haina option ya double chance
Wanayo.M bet haina option ya double chance
Bhaaas wadau nimeshaiona, samahani kwa uvivu wangu wa kuchunguza kwa umakini, just ingia kwa menu utakutana na vurugu zote!
View attachment 391750 wadau premier bet account yangu inasoma negative balance, na ilikuwa haina kitu hapo maana yake ni nn??
Ha ha ha ha hamkuu hilo ni deni ahahaha umebeti kwa mkopo nn?
Kanji kaliaMaombi yenu plzView attachment 391875
Kivipi mkuu?Hawa Premier vipi....wamebeba pesa zangu kwenye account wameacha sh460 tu