Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
😀😀😀wakiweka hiyo option nampa magufuli cap fastaaaa. kwani nini bwana.? ingawa mimi UKUTA ila pesa ilipo ndo nilipo. ila pia GG, 28+ pia zinaweza kuwepo.
😀😀😀wakiweka hiyo option nampa magufuli cap fastaaaa. kwani nini bwana.? ingawa mimi UKUTA ila pesa ilipo ndo nilipo. ila pia GG, 28+ pia zinaweza kuwepo.
Kuna game ya Kenya na Uganda imeanza, kwa wale wa live hii itakuwa na under 2.5 goals, probably!
Nilijaribu kutoa hiyo tip hapo juu. Nilitoa hii na Egypt win. Ila kwa kuwa sisi wengine tuna gundu na betting soka unaweza shangaa game ikatoa 10+.
hahahahaaaa
Mkuu nimeicheza ikiwa dkk ya 25 First Half no goal, imekubali.
Kwa game za kiafrica ni jambo la kawaida hili
Jamanii naombeni mnielekeze jinsi ya kuhamisha hela kutoka tigo pesa kwenda kwenye a/c ya mkeka bet.
Asante kiongoziProcess ni ile ile km unavyodeposit via M-pesa ...
Namba ya kampuni: 238844
Kumbukumbu ya malipo: mkeka au mkekabet au 12345 (unaweza kutumia yoyote kati ya hizi)
kumbu kumbu ni 123458Asante kiongozi
Mkuu ni vilio tu ...... Nimetoka kupigwa na wwnawake wa marekani kikapu hapa sina hamu point 1 wafike 151.5 over wameishia 151 ..maaamaaaeMkuu nimetoka ban leo, naona umebadili avatar mkuu, nilikusahau
Nimewafata maboya hawa hata 152 hawajafika .... MYes zipo ... zinachezwa ucku mkubwa, saa 8
... so unaweza ukaanza na football then ukiwa unaenda kulala, unatupia faida uliyoipata.
![]()
Mkuu ni vilio tu ...... Nimetoka kupigwa na wwnawake wa marekani kikapu hapa sina hamu point 1 wafike 151.5 over wameishia 151 ..maaamaaae
Mweeeemweeeemweeeeee.......Wajinga sana hao, mimi nimewacheza q4 under 39.5, zikiwa zimebaki sekunde 20 tu wamefunga pt 6, tatu tatu kila timu wakafikisha 40 pts.
Mweeeemweeeemweeeeee.......