Kila kitu kinamipaka chief mengine hasa kwa utamaduni wetu watanzania hayavumiliki, lazima tuelewe nchi hii rais ni mmoja tu na ndie amiri jeshi mkuu, ndiye mkuu wa serikali na ndiye MKUU WA NCHI, hilo la mwisho watanzania wengi huwa tunalisahau, ni Tanzania pekee ndo utakuta mkuu wa nchi (mfalme) anatukanwa anacheka au mtu anakuwa na ujasiri wa kumtukana mkuu wa nchi, wabadilishe katiba ila kwa hii tulokuepo nayo inabidi kuinisha vichwa tu na tumpe sapoti rais, ni hatua zisizoepukika kiusalama msiende mbali just refer to what happened in Egypt katika mapinduzi ya yalotokea recently ndo utajua the role of government katika hili na hii ni principal wala sio utashi.