Megabits
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 532
- 587
Dahh Hongera chiefNgoja tuone bet 21 imebaki moja tu
View attachment 3442563
Dahh Hongera chiefNgoja tuone bet 21 imebaki moja tu
View attachment 3442563
Jana CHAN nilipigika check mkeka wa Kamotee ameshinda mechi za Chan janaKuna watu mnajaribu kutupanga humu kwa hiyo hizi game mbili zilitoa Jana 🥲🥲🥲
Sawa huyo jamaa ameweka game zote zimetiki kwamba zimeshinda kwa maana Algeria na SA jambo ambalo ni uongoJana CHAN nilipigika check mkeka wa Kamotee ameshinda mechi za Chan jana
Mkuu uongo uko wapi hapo? Mkuu gemu ya Guinea vs Algeria niliweka kipindi cha pili Lipatikane goli moja kitu ambacho goli lilipatikana na gemu ya Niger vs South Africa niliweka South Africa ashinde kwa goli moja au itoke sare, na ilitoa hivyo hivyo.Sawa huyo jamaa ameweka game zote zimetiki kwamba zimeshinda kwa maana Algeria na SA jambo ambalo ni uongo
wajuaji wengi uyo jamaa mkeka wako hakuweka halafu mdomo mwingii lafah fulani ivi mwenye roho ya koroshoMkuu uongo uko wapi hapo? Mkuu gemu ya Guinea vs Algeria niliweka kipindi cha pili Lipatikane goli moja kitu ambacho goli lilipatikana na gemu ya Niger vs South Africa niliweka South Africa ashinde kwa goli moja au itoke sare, na ilitoa hivyo hivyo.
Naona mnashauriana kupiga watuwajuaji wengi uyo jamaa mkeka wako hakuweka halafu mdomo mwingii lafah fulani ivi mwenye roho ya korosho
Kampuni zote zenye machaguo machache au tuseme ambazo ni ngumu kula pesa yao na ambazo zina Kodi 15% zote ukideposit dakika 0 pesa inasoma na ukitoa sekunde hiyo hiyo pesa inasoma.Wakuu kampuni gani kwa sasa iko vizuri kuwithdraw na kudeposit bila longolongo msimu unaanza wawekezaji tumerudi
Haya mabolioni haya odds kibao 18000 tia sh500
6KKKX0
Mkuu hiyo vpn ni kwa ajili ya free internet?