Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Poa mkuu nilidhan wamekosea
Screenshot_20250816_213833_ChatGPT.jpg
 
mara ooh!, sibeti mpaka ligi zirudi. mara eeh!, ligi zikirudi pesa iko wazi.

haya sasa, tazama West Ham alichotufanyia wakamaria. kadidimizwa 3-0 na kibonde Sunderland.

hakuna utofauti wa ligi kurudi wala kuisha.
Muda wa Kanji kupiga hela huu...
 
Back
Top Bottom