Asante mkuuUsijeukiacha hela yako sehemu yoyote mkuu, lbda kama unaprint. Ingawa nilitemana nao baada ya kunicheleweshea mhamala wangu ila hao jamaa hawawezi kukuzima.
Kuanzia jumatatu mpaka ijumaa tuma emails zenye taarifa zako transaction ID, amount, date+time na mazagazaga mengine.
Mi nilikuwa natuma kila baada ya siku mbili. Kitu ninakuakishia hawawezi kukuzima ila pesa unaweza kuchukua hata mwezi kuipata. Mi nilipata baada ya week kama 6 hivi, pesa ilirudishwa kwenye account yangu alafu nikawithdraw tena, baada ya hapo nikatemana nao.
Naomba no yako mkuuUsijeukiacha hela yako sehemu yoyote mkuu, lbda kama unaprint. Ingawa nilitemana nao baada ya kunicheleweshea mhamala wangu ila hao jamaa hawawezi kukuzima.
Kuanzia jumatatu mpaka ijumaa tuma emails zenye taarifa zako transaction ID, amount, date+time na mazagazaga mengine.
Mi nilikuwa natuma kila baada ya siku mbili. Kitu ninakuakishia hawawezi kukuzima ila pesa unaweza kuchukua hata mwezi kuipata. Mi nilipata baada ya week kama 6 hivi, pesa ilirudishwa kwenye account yangu alafu nikawithdraw tena, baada ya hapo nikatemana nao.
kazi ya wenyewe hii. hakuna lelemama😎आपका फिर से स्वागत है आपका पैसा मेरा है
Hapa hubeti unajifurahisha tu ongeza stake mkuu hio 5000 ndo ilitakiwa iwe stake na si ushindiSiku hizi nimeounguza sana kubeti nabonyeza bonyeza tu...tatizo ni muda umebana sana ..pesa ya supu
Lakini chakushangaza mpuuzi shekh mandazi adriz anasema nabet na mimi ni mkamaria 😁😁 ...mimi nabetia funny ...ila je nikibetia sh 500 odds 20000 ushindi million 30 nikila utasema sijabeti?Hapa hubeti unajifurahisha tu ongeza stake mkuu hio 5000 ndo ilitakiwa iwe stake na si ushindi