Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu uongo uko wapi hapo? Mkuu gemu ya Guinea vs Algeria niliweka kipindi cha pili Lipatikane goli moja kitu ambacho goli lilipatikana na gemu ya Niger vs South Africa niliweka South Africa ashinde kwa goli moja au itoke sare, na ilitoa hivyo hivyo.
Ooh Sawa mkuu
 
mara ooh!, sibeti mpaka ligi zirudi. mara eeh!, ligi zikirudi pesa iko wazi.

haya sasa, tazama West Ham alichotufanyia wakamaria. kadidimizwa 3-0 na kibonde Sunderland.

hakuna utofauti wa ligi kurudi wala kuisha.
 

Wadau mwenye uelewa na hiyo option hapo juu naona wameweka nmekosa na mimi nilichagua No na hajashinda away hapo game ni sare
 
View attachment 3443368
Wadau mwenye uelewa na hiyo option hapo juu naona wameweka nmekosa na mimi nilichagua No na hajashinda away hapo game ni sar

View attachment 3443368
Wadau mwenye uelewa na hiyo option hapo juu naona wameweka nmekosa na mimi nilichagua No na hajashinda away hapo game

View attachment 3443368
Wadau mwenye uelewa na hiyo option hapo juu naona wameweka nmekosa na mimi nilichagua No na hajashinda away hapo game ni sare
Ilitakiwa na goli ziwe 3+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…