Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndio hiyo nilideposit kwa tigo na kutoa nihivyo hivyo wao wanasema kulikua na changamoto ya mtandao ila wanafanyia kazi
Mimi nilideposit Toka tarehe 22 February 2025 mpaka Leo hela haijaingia tigo hao hao na hapo meseji ya uthibitisho kutoka KATAVI GAMING LTD nilipata. Tumetumiana email mpaka nimechoka.

Mwisho wa siku wananiambia niwaambie tigo warudishe, nawaambia pesa iliyoenda kwa kampuni ya kubeti huwa haiwezekani kucancel muamala au kuomba kurudisha. Wananiambia niwatumie mazungumzi ya Mimi na tigo kuhusu hayo majibu kwamba haiwezekani kurudisha.

Nilijaribu kuomba mawaailiano ya hao KATAVI GAMING LTD lakini waapi hawatoi.
 
Mimi nilikua natoa mkuu
 
Wadau kwa wenye uzoefu hii pea nilitoa tangu tarehe 12 mwezi huu kuja tigo pesa.
Vipi nitaipata au imepotea?
Usijeukiacha hela yako sehemu yoyote mkuu, lbda kama unaprint. Ingawa nilitemana nao baada ya kunicheleweshea mhamala wangu ila hao jamaa hawawezi kukuzima.

Kuanzia jumatatu mpaka ijumaa tuma emails zenye taarifa zako transaction ID, amount, date+time na mazagazaga mengine.

Mi nilikuwa natuma kila baada ya siku mbili. Kitu ninakuakishia hawawezi kukuzima ila pesa unaweza kuchukua hata mwezi kuipata. Mi nilipata baada ya week kama 6 hivi, pesa ilirudishwa kwenye account yangu alafu nikawithdraw tena, baada ya hapo nikatemana nao.
 
Chelsea huyo anataka kuharibu jumapili na huyu Brentford hata goli moja linamshinda jamani?
 
Achaneni na hii kampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…