Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu mnaotumia kampuni za Kirusi kuweni makini, mtakapowala pesa ndefu hamtapata mzigo wenu.

Akaunti yangu ya PARIPESA Imefungiwa rasmi ikiwa na 17.8m sababu za kipuuzi. Usisikilize mawakala wao, wenyewe hawajui hata hizi kampuni zipo wapi zaidi ya kutuma email kama sisi.

Kuweni makini wakuu.
 

Attachments

  • Screenshot_20250822_172916_PariPesa.jpg
    161.1 KB · Views: 34
  • Screenshot_20250823_130107_Gmail.jpg
    298.4 KB · Views: 37
Wamekusanukia kwa unachokifanya,,hao si matapeli sisi tunao kitambo tu,kama unapata hivyo si kacheze bp,au sportpesa,kwanini ung'ang'anie huko
 
Mnajitakia kwa upumbavu wenu wenyewe tumesha waambia tumieni SPORTYBET...mnatanga tanga kama kuku anataka kutaga
 
Mnajitakia kwa upumbavu wenu wenyewe tumesha waambia tumieni SPORTYBET...mnatanga tanga kama kuku anataka kutaga
Sikujua mkuu, wengine wajifunze kwa kosa langu...wabishi waendelee kucheza upatu kama nilivyokuwa mimi.
Kazi iendelee.
 
Pole sana mkuu, katika warusi huyu anaongoza kwa kutuhumiwa utapeli na ubabaishaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…