KATAVI GAMING LTD ni kampuni la kitapeli ikitokea changamoto pesa isipofika ni maumivu makaliMimi hao washenzi wamenipiga pesa Toka mwezi wa pili mpaka Leo agosti.
I see me! International I see me Man City paleee! Na hata GG anazinguaMtu anakuja anakwambia "Leo sitaki tamaa kabisa, nampa man city ashinde au asare" 😂
Duh! Pole sana mzee…Duh!Wakuu mnaotumia kampuni za Kirusi kuweni makini, mtakapowala pesa ndefu hamtapata mzigo wenu.
Akaunti yangu ya PARIPESA Imefungiwa rasmi ikiwa na 17.8m sababu za kipuuzi. Usisikilize mawakala wao, wenyewe hawajui hata hizi kampuni zipo wapi zaidi ya kutuma email kama sisi.
Kuweni makini wakuu.
Kampuni inahusu hela lakini hakuna mawasiliano yao. Bora hata M LIPA ilikuwa malipo yakizingua unawatafuta,Sasa Hawa washenzi hakuna mawasiliano.KATAVI GAMING LTD ni kampuni la kitapeli ikitokea changamoto pesa isipofika ni maumivu makali
Ila Kanji Anacheza na Akili zetuLeo aliyevuka mtego wa nyang'au huyu pongezi kwakoView attachment 3450200
Leo aliyevuka mtego wa nyang'au huyu pongezi kwakoView attachment 3450200