Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Attachments

  • Screenshot_20250823_180843_LinkedIn.jpg
    Screenshot_20250823_180843_LinkedIn.jpg
    278 KB · Views: 28
Wakuu mnaotumia kampuni za Kirusi kuweni makini, mtakapowala pesa ndefu hamtapata mzigo wenu.

Akaunti yangu ya PARIPESA Imefungiwa rasmi ikiwa na 17.8m sababu za kipuuzi. Usisikilize mawakala wao, wenyewe hawajui hata hizi kampuni zipo wapi zaidi ya kutuma email kama sisi.

Kuweni makini wakuu.
Duh, pole. Na kama hawajasajiliwa hapa huwezi kuwapata popote.
Lkin je, hakuna kampuni za kibongo zenye zimesajiliwa hapa bongo zinazotumia system hii ya kirusi? I mean hawa Paripesa hawajasajiliwa hapa bongo kwenye board ya Michezo ya Kubahatisha?
 
Mkuu swali gani hili unauliza? Kwamba huelewi? Au umekosea uzi umeingia kwenye uzi huu kwa bahati mbaya
Wewe huna akili kabisa, wanaoleta vilio ni wengi tu, Kwamba unadhan atakua lazima ni huyo Man City peke yake kwa kila mmoja??
 
Duh, pole. Na kama hawajasajiliwa hapa huwezi kuwapata popote.
Lkin je, hakuna kampuni za kibongo zenye zimesajiliwa hapa bongo zinazotumia system hii ya kirusi? I mean hawa Paripesa hawajasajiliwa hapa bongo kwenye board ya Michezo ya Kubahatisha?

Tumia Betwinner.
 
Helabet pekee nadhani wako bongo
 
Halafu hawataki kusajiliwa nchi husika.Wanasema wanaoperate online...

Ila ukiwa unaliwa hutaona tatizo nao kabisa.Nilikula nikatoa kama 12m ndani ya wiki 3/4 nikaona Odds zimeshushwa ghafla wakaseti kutoa mwisho 300k kwa siku.
Ukiona mtu hajakumbana na kadhia hizi ujue huyo mteja wao wa kuliwa.
Ipo wazi Sana HUWEZI kutoa kiasi chote BILA masharti ya kishenzi ILA wao wakikula hawakati kidogo kidogo watatoa yote
 
Wanahisi umecheza Fixed game.

Yaan Ulikuwa na matokeo wakat wa kubet na pia ukaweka hela ndefu.

Lazima washtuke.

Mkeka uliowon mil 17. Uliweka sh ngap na kwa odda ngap?
Uo ni ujinga kama ni fixed Kwa sgeria ipi unahisi Mimi na matokeo ya mchezo ule ni wizi
 
Duh, pole. Na kama hawajasajiliwa hapa huwezi kuwapata popote.
Lkin je, hakuna kampuni za kibongo zenye zimesajiliwa hapa bongo zinazotumia system hii ya kirusi? I mean hawa Paripesa hawajasajiliwa hapa bongo kwenye board ya Michezo ya Kubahatisha?
Hao Paripesa sijui 1xbet hawajasajiliwa sio Tz tu,Bali Africa nzima mkuu, Ni matapeli tu kesho TCRA wanaweza wakazima hata Domain yao ikala kwetu.

Anayebisha aseme physical address yao ipo wapi?
 
Back
Top Bottom