Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1.Ug vs seneg ...senegl win
2.mancity vs totth ....man city win
3.sudn vs Algeria ...Algeria win
4.arsenal vs Leeds....arsenal win
5.bounm vs wolv....boun win
6.levant vs Barcelona...Barca win
7.st Pauli vs dotmund ...dotmund win
8.liverkusen vs hoffmen...liverk win
 
Mimi nikiangalia movie wale mamafia wa kirusi huwa sithubutu hata kuchungulia hizo kampuni zao
Halafu hawataki kusajiliwa nchi husika.Wanasema wanaoperate online...

Ila ukiwa unaliwa hutaona tatizo nao kabisa.Nilikula nikatoa kama 12m ndani ya wiki 3/4 nikaona Odds zimeshushwa ghafla wakaseti kutoa mwisho 300k kwa siku.
Ukiona mtu hajakumbana na kadhia hizi ujue huyo mteja wao wa kuliwa.
 
1.Ug vs seneg ...senegl win
2.mancity vs totth ....man city win
3.sudn vs Algeria ...Algeria win
4.arsenal vs Leeds....arsenal win
5.bounm vs wolv....boun win
6.levant vs Barcelona...Barca win
7.st Pauli vs dotmund ...dotmund win
8.liverkusen vs hoffmen...liverk win

Namba 1 5 na 7.
Ni Bet ngumu hizo. Usiweke
 
Halafu hawataki kusajiliwa nchi husika.Wanasema wanaoperate online...

Ila ukiwa unaliwa hutaona tatizo nao kabisa.Nilikula nikatoa kama 12m ndani ya wiki 3/4 nikaona Odds zimeshushwa ghafla wakaseti kutoa mwisho 300k kwa siku.
Ukiona mtu hajakumbana na kadhia hizi ujue huyo mteja wao wa kuliwa.
Aisee ndio maana Mimi natumia meridian bet na sporty bet tu zilizosajiliwa bongo
 
Halafu hawataki kusajiliwa nchi husika.Wanasema wanaoperate online...

Ila ukiwa unaliwa hutaona tatizo nao kabisa.Nilikula nikatoa kama 12m ndani ya wiki 3/4 nikaona Odds zimeshushwa ghafla wakaseti kutoa mwisho 300k kwa siku.
Ukiona mtu hajakumbana na kadhia hizi ujue huyo mteja wao wa kuliwa.

Wanahisi umecheza Fixed game.

Yaan Ulikuwa na matokeo wakat wa kubet na pia ukaweka hela ndefu.

Lazima washtuke.

Mkeka uliowon mil 17. Uliweka sh ngap na kwa odda ngap?
 
Wanahisi umecheza Fixed game.

Yaan Ulikuwa na matokeo wakat wa kubet na pia ukaweka hela ndefu.

Lazima washtuke.

Mkeka uliowon mil 17. Uliweka sh ngap na kwa odda ngap?
Hapana nilizikusanya kwa muda...huwa naweka 1m nakula labda 200k.Huwa nabet Live game na mechi moja tu.Kama hii Game ya City na Spurs naweka wasifungane 1stHalf.
 
1.Ug vs seneg ...senegl win
2.mancity vs totth ....man city win
3.sudn vs Algeria ...Algeria win
4.arsenal vs Leeds....arsenal win
5.bounm vs wolv....boun win
6.levant vs Barcelona...Barca win
7.st Pauli vs dotmund ...dotmund win
8.liverkusen vs hoffmen...liverk win
Siku zote mahesabu huwa mazuri kabla ya game hazijaanza

Ila baada ya game
giphy.gif
 
Back
Top Bottom