Mzee Garang sijui yupo wapi..niliwahi chukuoa code yake ya train mwaka 2023 zilikuwa team 60 mbili ndio ziliharibu...ulikuwa bonge la mkeka..ilikuwa nile 123 milion kwa buku3Namkumbuka jamaa mmoja hivi The Garang mzee wa matreni ya betpawa humu kulikuwa hamna promo za makampuni ni mwendo wa code za mikeka tu