Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii kitu ni hatari, yaani Nertheland wanafunga goli 3 first half mimi nikaomba goli moja tu kipindi cha pili lakini nakuja kuamka nakuta jamaa walinuna hakuna goli hata moja.

BankoCep kwenye Basketball wana consistency nzr sn ... wanapiwa lkn sio sawa na Football.

Niliwafuata game mbili zimetoa, nlichanganya na games 3 za football.
 
View attachment 391750 wadau premier bet account yangu inasoma negative balance, na ilikuwa haina kitu hapo maana yake ni nn??
Mkuu hawa watu sijui vipi.....bora wewe imesoma negative mimi walikuta nimeacha ka elfu 12000 wamezoa pesa wameacha 416Tsh.......sijui wana nini, maana wananitisha hata kuweka mzigo ili nibet na nina shukuru niliamisha pesa mapema
 
Hilo gundu sasa -nega alafu pesa nyingi hivyo warukie hewan customer care
Wana namba za kupigiwa?Mki wananitisha naogopa kuweka ela. Maaana wamechukua elfu kumi na kitu ktk akaunti yangu tayari
 
Mkuu hawa watu sijui vipi.....bora wewe imesoma negative mimi walikuta nimeacha ka elfu 12000 wamezoa pesa wameacha 416Tsh.......sijui wana nini, maana wananitisha hata kuweka mzigo ili nibet na nina shukuru niliamisha pesa mapema
Walipunguza baadae wakafuta hiyo balance, mpk nilishindwa kubet jana. Nilipowaandikia email walisema kulikuwa na tatizo la matokeo ya mechi moja ambayo mimi nilikula huo mkeka, ila matokeo as per Association Press, AP yalikuwa batili, bahati nzuri mimi nilibet idadi ya kona
 
Wanadai kuwa kwa mfano Tanzania akafungwa na Brazil, lakini Association Press, AP wkaripoti Tanzania kashinda basi watawafuatisha AP. Ha ha ha Betting ni balaa
 
Etii [emoji101][emoji101][emoji101] ... huo ni upuuuzi wa hali ya juu. Yani uache kufuata matokeo ya uwanjani, ukafuate matokeo ya waandishi wa habari [emoji15][emoji15]
 
Wadau kuna prediction site yoyote wanayotabiri Basketball ukiacha BancoCep? ... msaada tutani, maana nahangaika Google hapa sipati kwa urahisi!
Kuna mechi mbili za Philippines saa 5 asbh (1115hrs) na saa 8 (1400hrs) mchana
 
Phoenix win
Mahindra win au mpe over
 
Wadau kuna prediction site yoyote wanayotabiri Basketball ukiacha BancoCep? ... msaada tutani, maana nahangaika Google hapa sipati kwa urahisi!
Kuna mechi mbili za Philippines saa 5 asbh (1115hrs) na saa 8 (1400hrs) mchana
vitibet nao wapo poa kwenye basket hebu watazame
 
vitibet nao wapo poa kwenye basket hebu watazame

OK Chief ... niliwaona lkn sikuwasoma vzr, ngoja nirudi tena.
Meantime, nimeshatupia ... mbili za mwanzo ni basketball na mwisho football, Odds 4.095

Habari ya muda huu wakuu, naomba elimu kidogo juu ya under/over.
Kwenye meridian nakuta wameandika under/over (0-2 na 3+), lakini kuna tips za betting zinakutaka uweke lets say over 1.5, over 2.5 au under 3.5 sasa kwenye meridian kwa tips hizi nafanyaje? Naamini nimeeleweka.
Kazi njema wawekezaji wenzangu
 
0-2 ni sawa na under 2.5 na hio 3+ ndo over 2.5 mkuu
 
Sasa hako ka elfu kumi kangu walikokachukua watakarudisha au????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…