Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Ukitaka kujionea we fuata mikeka yake uone utashangaa siku tatu mfululizo unapigika tu wewe stake ndogondogo unakaa chonjo kuugilia maumivu mwenzio anayeweka stake kubwa kila siku anaendelea kubeti kama kawaida 😅😅Demo account hiyo