Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna Wana tunacheza UEFA jumanne, jumatano ebu jaribuni mtupe tuwaoneshe maajabu😃🤭
 
Muda mwingine nashindwa kuelewa betting ina nini? umeamua zako ubeti live dakika ya 30 unakuta kona tayari 5 kwa hesabu ya haraka haraka muda uliobaki huwezi kukosa kona 12 jumla mpaka full! Kumbe umeingia chaka zinaganda hapohapo hadi mpira unaisha! Kwanini zigande hadi mpira unaisha? Wajuzi tusaidiane hapa nahisi kuna ulozi
 
itakuwa kuna rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…