Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii kitu haihitaji hasiraa
, otherwise kanjibhai atakupokea kama ulivyokuja😎😎
Screenshot_20250917-010523.png
 
View attachment 3473212
Hawa wanigeria nimeamua kupuuzia code zao naona kama kuna uongo mwingii mikeka wanayoshare code inachana halafu wanakuja kuringishia mikeka mingine kabisa ambayo hawakushare kibaya zaidi odds nyingi kupita maelezo.
Mnaobet kwa kufuata code za wengine kuweni makini. Hakuna ukweli

Wanaoshare code za kampuni za kirusi huwa wanatumia demo account, Wala sio pesa kweli
Wanaoshare mikeka wamekula sportybet huwa ni edit. Sportybet ni rahisi kuedit win ticket.

Pia achaneni na soka(mechi nyingi zipo compromised)
Gurus wote wanabet basketball.
 
View attachment 3473476
Mechi Za Leo ⚽

Code 👉 E9MUJ

Jisajili PariPesa Kwa Kutumia Promo Code👉 TIPS2424 Upate Bonus Ya 300% Ukideposit Kwa Mara Ya Kwanza.

Jisajili Hapa⤵️

https://paripesa.bet/tips2424

https://paripesa.bet/tips2424

📌 Promo Code👉 TIPS2424

App Link: https://paripesa.bet/tips2424app
mp94it.jpg

BOOOOOOOM✅✅✅✅✅✅✅✅

1.5 MILLION WON ✅✅ 🔥🔥🔥🔥🔥

📌 Jisajili PariPesa Kwa Kutumia Promo Code👉TIPS2424 Upate Bonus Ya Mpaka 300,000.

Jisajili Hapa⤵️
https://paripesa.bet/tips2424

https://paripesa.bet/tips2424

Promo Code👉 TIPS2424

PariPesa App➡️ https://paripesa.bet/tips2424app
 
Mnaobet kwa kufuata code za wengine kuweni makini. Hakuna ukweli

Wanaoshare code za kampuni za kirusi huwa wanatumia demo account, Wala sio pesa kweli
Wanaoshare mikeka wamekula sportybet huwa ni edit. Sportybet ni rahisi kuedit win ticket.

Pia achaneni na soka(mechi nyingi zipo compromised)
Gurus wote wanabet basketball.
basketball ukiijulia ni tamu sana, hutumii nguvu nyingi wakati wa kuandaa na kuchambua mechi, dakika 2 ushamaliza. halafu baadaye kitu boom.

basketball ilishanikataaga kitambo. nishajaribu kila njia lakini wapi. nimehangaika na direct win, ikawa vichapo tu. nikaja kwenye over/under, nako vichapo.

nimebaki naiangalia tu, mzuka wa kujifunza kuichambua umekata. kwasababu nilitumia muda mwingi kujifunza kuichambua nikatoka kapa.
 
Tatizo mnabet kila siku, pia mnataka kubet kila mechi
Betting ifanye iwe kama starehe ya kwenda kidimbwi weekend😅
Usibet kila siku

Ligi nzuri kubet ni NBA. Andaa mzigo mzuri alafu uwe unaweka mechi mbili tu
Msimu uliopita nilikua na kazi ya kubet timu 3 tu, Cavaliers, Oklahoma na Pacers.
 
hizo timu 3 ulikuwa unaziwekea win au over/under?. nafikiri zilikuwa top strong teams, ndiyo maana ukawa unaziweka.

basketball na hockey kila msimu mshindi na top teams zinabadilika. inakuwa ngumu kupredict direct win. siyo kama football, ligi nyingi kila msimu top teams ni zilezile. ndiyi maana watu tunakimbilia kwenye football.
 
Achana na direct win iwe basket au Soka.

Nilikua nadili na market inaitwa(any team to lead 17 or more points)
Katika hizo timu 3 ilikua uhakika lazima muda fulani timu iongoze kwa tofauti ya point 17
Nikitaka kupunguza risk naweka any team to lead 12 points more, alafu naongeza timu moja ya uhakika ambayo ni Denver Nuggets

Sportybet walikuja kushtuka too late, wakawa wanapunguza odds sana😅
 
weka direct win kwenye soka kama inacheza strong team dhidi ya average au lower team. kama timu zinazocheza hazieleweki hazina consistency, ndiyo unacheza over/under.

hiyo market ya 'any team to lead by points' kwenye basketball, niliona kuna mkuu aliileta humu, yenyewe mechi moja ina 33 odds kuendelea. kwasababu watu tunadili na soka tu, na hatuko vizuri kwenye basketball. tukaichukulia kawaida hiyo market.
 
Direct win utakua unapigwa sana hata timu kubwa icheze na ndogo. Jana Benfica akiwa nyumbani kapigwa na timu dhaifu
 
Back
Top Bottom