Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Wazee al ahly iliuza wachezaji wake nyota?
View attachment 3475761
On PariPesa
Code 👉👉 SR5QL
STAKE: 385000
Jisajili PariPesa Hapa⤵️
https://paripesa.bet/tips2424
https://paripesa.bet/tips2424
📌 Promo Code👉 TIPS2424
App Link: https://paripesa.bet/tips2424app
Tumia Promo Code👉 TIPS2424 Upate Bonus Ya 300% Ukideposit Leo.
🤣🤣🤣🤣🤣 apn apo lazima tu ni make 1million☹️
nyie ndio wale wa:
"USHUHUDA: JINSI MKOJO WANGU WA ASUBUHI ULIVYONISAIDIA KUSHINDA BETI YA MILIONI 100"
Tabora UnitedTRA United
Utakuwa hujui kucheza na oddsKanji ye ni kupuna tu ata ukitia stake ya 10tsh
Hahahaha hata kilimo , biashara ni kubeti tu ,madogo wavune mipunga hiyoVijana mnaishia pabaya sana 😃😀😀
Ndio hata wewe ni mmiliki wa hio timu maana kodi yako imesaidia kuinunua😁Tabora United
Boss saidia hata odds 10 hapo za chapUtakuwa hujui kucheza na odds
Mapema sana kanji lazima atoe helaPigeni pesa wakuu
Leta hela😁Boss saidia hata odds 10 hapo za chap
Mpasue mkuuMapema sana kanji lazima atoe hela
Niliwahi kuamia kwenye kilimo cha matikiti na vitunguuu mwisho wa siku niliishia kupiga yowe tu sokoni hakuna pesa aisee 😀 😀Hahahaha hata kilimo , biashara ni kubeti tu ,madogo wavune mipunga hiyo
Huko moshi majuz napata taafira nguruwe zangu zimepitiwa na ugonjwa wa ajbu zaidi ya 30 zimekata , hivyo madogo wabeti tu hakuna alie salama😅Niliwahi kuamia kwenye kilimo cha matikiti na vitunguuu mwisho wa siku niliishia kupiga yowe tu sokoni hakuna pesa aisee 😀 😀
Hali ya maisha ni ngumu sana bwashee 😀😃Huko moshi majuz napata taafira nguruwe zangu zimepitiwa na ugonjwa wa ajbu zaidi ya 30 zimekata , hivyo madogo wabeti tu hakuna alie salama😅
Mimi nimezoea bwashee, mda mwingine unapunguza tu matarajioHali ya maisha ni ngumu sana bwashee 😀😃