Mkuu hapo zipo Odds 5000+ utastake 100000 kwenye Odds 5000? Mara nyingi una stake high kwenye Odds chache, ndiyo maana nikiandaa Odds 100 - 200 Naweza stake 50000 - 100000 siyo zaidi na odds chache kuanzia 2 - 5 naweza Weka 500000.Hii sasa ndo stake yenye uhalisia. Hapa hujatia laki 5 wala 1m. Umetia 10k.
Bomboclaaaaach!! 😎😎😎
View attachment 3472489
Make sure it win, this question is irrelevantNdio unaamka mkuu?!
Hii biashara ngumu sana halafu hawa sport bet mbona hawawezi mechi ya Simba wamekuwa waoga mnoManyoook! Mechi yenye 99.9% over 1.5
View attachment 3472912
Mechi za kibongo kuna kampuni imeingia mkataba na Tifu Tiffu kwenye upande wa odds za timu za ligi kuu...Hii biashara ngumu sana halafu hawa sport bet mbona hawawezi mechi ya Simba wamekuwa waoga mno
Ligi bado haijaanza, subirini.Mechi za kibongo kuna kampuni imeingia mkataba na Tifu Tiffu kwenye upande wa odds za timu za ligi kuu...
So , ni mpaka sportybet wauziwe odds na kampuni husika ndipo waiweke mechi kwenye Platform yao....
Labda wamepiga hesabu gharama ya kununua odds ni kubwa kuliko idadi ya wanaoibetia hii ligi yetu ya Mwantumu!
Both teams to score aka GGKwahiyo hii derby tunafanyaje wadau?