View attachment 392486
KUNA TIMU HAZIJUAGI MECHI ZA URAFIKI
0-10
1-13
0-13
HYO 1-6 HT, Tutegemee goli 6 kipindi cha pili
Kwa waliofata hapa tunamsubirCoupon
More than 10 odd
Darlington vs kidderminster.... 2+
Atlantis vs Tpv..... Tpv win
Kufstein vs wacker innsbruck...... 3+
Allerhingen vs stadl paura....... 3+
Illertisen vs Buchbach...... GG
Bohemia vs Dundalk....... 2+
Mzazi nimetoka hv ...
Derry City - win (1.78)
UCD - 3+ (1.50)
Shelbourne - I1+ (1.21)
----------
Total Odds 3.23
Hapa naskizia km ni maumivu au nalala na kicheko. Cc Moyess
Me pia cwaelewi leo ya 3 ama ya 4Hawa Premier vipi....wamebeba pesa zangu kwenye account wameacha sh460 tu
mkuu we acha tu sijui nn kifanyike maana hii minyoosho dahHatareee sn ... fungu la kukosa.
kila mtaalamu wa kada husika aje na timu mbili kwnye hio sector mfano wale wa 3+ , ggWadau wa bet Leo jumamosi mechi ni nyingi mnooo, sasa ushauri wenu tutoke vipi? Hiki ni kikao cha dharura, tafadhali ukiwa kama mdau wa dhati, shiriki bila kukosa.
# kataa ukimya, vipigo vya kanji vinatosha
Server error tayari...bado mmelala? hamjui ya kuwa baadae kunayule rafiki yenu mpendwa aitwaye sever error atakutembeleeni baadae huko kwenu meridian?
Gg timu 3 tu mbona nyingi sana ntaweka hapa ila unikumbuke tu ktk ufalme wakoWakuu nahitaji msaada wenu
Timu za Gg3+ ziwe tatu kwa kila MKEKA.
Inahitaji mikeka 4