Mdau uliadimika karibuRoma vs san rolenzo GG
Perugia vs ac bari GG, over 2.5 goals & perugia win( mm nimecheza GG )
mkeka uchanike kwa sababu ya uzalendo?Nimeamua kutokuwa mzalendo kwa nchi yangu.
Dk ya 80 bado Tanzania kamkazia Mnigeria. Sasa sijui niendelee kusikitika kuliwa au nifurahie sisimizi anavyomuangusha Tembo.mkeka uchanike kwa sababu ya uzalendo?
kweli muhindi kdhamiria kupoteza watu.
si kwa hamu waliyokuwa nayo wadau mara subiri ligi zianze mara ooh nitarudi september ligi kuu ikianza
mwingine nachukua likizo kwa muda sasa ligi zimeanza sioni watu wakirudi kama walivyokuwa wakisema NI KWAMBA MUHINDI KAWANYOOSHA AU? BINAFSI NIMEPIGWA ZA USO MPAKA SIONI WAPI NISHIKE....
kweli muhindi kdhamiria kupoteza watu.
si kwa hamu waliyokuwa nayo wadau mara subiri ligi zianze mara ooh nitarudi september ligi kuu ikianza
mwingine nachukua likizo kwa muda sasa ligi zimeanza sioni watu wakirudi kama walivyokuwa wakisema NI KWAMBA MUHINDI KAWANYOOSHA AU? BINAFSI NIMEPIGWA ZA USO MPAKA SIONI WAPI NISHIKE....
Dagenham kaharibu ***** [emoji35] [emoji35]View attachment 392711
Tafuta ya weekend hapa weka 10 tyuuu inatosha
Oxford naye kaharibu hapa griiiiiiii
Hilo hata me nimekumbna nalo ila nacho fanya nali fresh ndo kinatokea ila nakuwa nalifresh zaid ya mara mojawakuu VP inakuwaje na mda kama wa week sijatia mzigo premier bet sasa ivi nikiweka team zaid ya tank ama sita haionekan tena ile sehem ya kuweka hela ili usubmitt mkeka. Je kuna aliyekumbana na hili tatizo?
unatumia browser gan?Hilo hata me nimekumbna nalo ila nacho fanya nali fresh ndo kinatokea ila nakuwa nalifresh zaid ya mara moja
kile ki picha cha mwanadada sijui ndio serena mcheza tenisi walikishusha kule chini ndio kinalwta shida ni kama ki add flani hiviwakuu VP inakuwaje na mda kama wa week sijatia mzigo premier bet sasa ivi nikiweka team zaid ya tank ama sita haionekan tena ile sehem ya kuweka hela ili usubmitt mkeka. Je kuna aliyekumbana na hili tatizo?
mostly nilikua natumia chrome na tatizo hilo halikuwepo ila nahisi kuna changes zimefanyika hasa kwenye ile picha na yale maneno ya deposit nowunatumia browser gan?
Hii inapendeza ukitumia mkeka bet unasikilizia msg ya kawaida ukiona msg inaingia kwaa juu ina jina MKEKABET unajua tayar ila ukiona kimya unajua ushachanikadaaah kuna mkeka nilicheza magoli tu wa hela ndefu, roho inapwita pwita. Kila nkitaka kuingia kucheck naogopa ... [emoji23][emoji23] huu mchezo Presha sn. Ngoja niendelee kujidunga bia kwnz ...
mostly nilikua natumia chrome na tatizo hilo halikuwepo ila nahisi kuna changes zimefanyika hasa kwenye ile picha na yale maneno ya deposit now
voucher
tigopesa
vodacom mpesa
plus ile photo pale chini