jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,773
- 1,614
huu mchezo kwa mtu anayetaka ku lose weight nafikiri unasaidia sanadaaah kuna mkeka nilicheza magoli tu wa hela ndefu, roho inapwita pwita. Kila nkitaka kuingia kucheck naogopa ... [emoji23][emoji23] huu mchezo Presha sn. Ngoja niendelee kujidunga bia kwnz ...