shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,800
- 4,322
hiyo mech nakumbuka sana mm niliweka 50000 ila niliweka mech sita na roma ndio alikuwa wa mwisho maana wengne niliwapa magoli nilijua kachananliweka 1ml, dakika ya 60 roma kapigwa 2-1 nikalala kwa majonzi hata kabla mechi haijaixa huku nikiwaza hatima ya tumbo kexo itakuwaje,
mara asubuhi naona notification goal.live app roma kaxinda 2-3
toka siku hiyo sikurudia tenaaa
Hongera sana ila usirudie usije ukaleta maombolezi JF