G55-MGODI
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,353
- 1,827
Hongera sana buddy mie nataka jmosi nisiwe nabeti kabisa maana ni maumivu, nlichagua timu 16 over 1.5, 15 zikatoa afu moja ndo ikazingua nliumia sana basi tu....Biashara imekuwa ngumu kiukwl lkn I am vry optimistic tutapiga hela mingi sn hv karibuni ... mm baada ya kumpiga 900K juz na jana asbh/mchana 230K cjacheza tena nasubiri J5 ndo kuna mechi nazielewa.