Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

NYKOBING FC - NAESTVED BK (Denmark)- Over 2.5.

Serbia - Ireland, HT X @2.0

Georgia - Austria, Under 2.5 @1.60

Finland - Kosovo, 1 @1,80

Siracusa - foggia, 2 @1.90

Croatia - Turkey, 1 @1.50

Wales - Moldova, 1 @1,30

Israel - Italy, 2 @1.70

Cyprus U21 - Slovakia U21, Over 1.5 @1.40

Finland - Kosovo, Over 1.5 @1.40

Wuppertaler SV - Alemannia Aachen, Over 1.5 @1.30
 
Mostly me huwa nabet Meridian na Supabet ila zaidi meridian ninahisi ndo nina bahat napo so huwa sipendi sana kubadilibadili kampuni as odds mara nyingi zinakuwa zilezile hazipishani sana,​
meridian ipoje
 
Mer
meridian ipoje
Meridian i can say ipo poa kwa upande wangu as wana option nying and unaweza withdraw when imebaki timu moja na una wasiwasi inaweza zingua unaturbo, so unacalculate odds zinazobaki na stake yako ndo amount utayopata
 
nawezaje kubet meridian au mpaka kituon kwao
 
Hawa Austria wanachafua hali ya hewa , hii sifa sasa, wanafanya watu tuanze kuyabinya kuanzia kipindi cha kwanza, under 2.5 ishakuwa issue hapo.
 
bet ya leo;
finland vs kosovo, double chance 12
spain vs liechtenstein,both team to score "NO"(NG)
 
Hongera sana buddy mie nataka jmosi nisiwe nabeti kabisa maana ni maumivu, nlichagua timu 16 over 1.5, 15 zikatoa afu moja ndo ikazingua nliumia sana basi tu....
kuanzia Ijumaa,juma mosi na J2 huwa ni siku za majanga kwng huwa najitahidi J3 mpaka Alhamis bila kutokuliwa ila ikianza wknd lazima nipewe za uso
 
Sasa hapo ndio sio pa kukata tamaa ... u were very close ... mimi saiv mostly nacheza magoli tu. Over 1.5 (2+), HT over 0.5 (I1+) au timu flani ipate goli kipindi cha kwanza ... baaasi. Ila lazima nikili soccervista wamekuwa msaada sn hv karibuni, la sivyo za uso zingeendelea tu. Hawa jamaa wanakupa mwanga wa kujua matokeo yanaweza kuwaje likely ... na mm natembea na nyota zao humo humo ...
Mkuu umenena ila kwa hizi option angalau una punguza risk mfano juzi kati niligundua ukiweka stake online kama timu ipo dakika ya kuanzia 25 hapo unakua na odd kuanzia 2.3-2.5 na possibility ya goli kuingia dakika zilizobaki ni kubwa.
 
Wadau vipi biashara ngumu? Cc buddy root econometrician bologna sunola smoke d Mr Q Raimundo wakusoma Mtoto wa Nzi Gedsellien
ngumu kimtindo kaka ila ndio hivyo ndio biashara yetu hii tutakomaa nayo kwa mazingira yyte
 
Mkuu
Kazi imekuwa ngumu kweli siku ukichukua sure bet timu za uhakika mbili tatu unapoteza, jana nimeweka timu chache poland kaniua wamekula laki yangu, last week timu 12 option ngumu 500 imetoa 2.7m mpaka unasema ungejua uweke 10,000 only umfilisi muhindi lakini wapi, tuendelee tu kucheza may be ipo siku ataingia​
acha malalamiko kama juzi umekula 2.7 M leo unaliwa 100K unalalamika-hujui hii business ni what comes around goes around
 
Game sio mbaya japo za uso ni nyingi kweli maombi ya kanjibah yanapasua mawingu..
Nawashuri mpige HT 0.5 Over, FT 1.5 Over na timu za uhakika mimi kwangu imenirudishia mtaji wa wikiend
mura betting ni betting mwenzio huwa naweka hvyo tena mechi 2 tu nabado napigwa hii kitu ni bahati tu
 
Meridian tatizo lao kubwa ni kutokuwa stable kwa site yao na hivyo kukwamakwama hasa pale mechi zinapokuwa nyingi kama jumamosi. Utashangaa unaweka timu zako mara zinafutika zote .....mara ikusumbue

Lakini kwa upande mwingine huwa ndio inanifurahisha na imepangiliwa vizuri kuliko site zote zilizopo bongo. Kwanza rangi zake zinaonekana, hazijafifia wala haziumizi macho

Kizuri zaidi ambacho kamapuni nyinine haina ni option ya ku filter ama kuchuja. Ninaweza kuchagua option moja na nikabet kwa timu zoote nianzozipenda nadani ya dakika moja timu hata arobaini . Mfano siku hito nikiamua kucheza 2+ Ninachuja kwenye toata goals na wizard inafungua kwa timu zoote na ninaanza kujibonyezea tuuu ninavyotaka bonye bonye mpaka nianatosheka. Lakini nilijaribu supabet haipo, premier hawana.........??
 
Chief hii ya ku-filter cjakuelewa vzr ... unafanyaje? Itakuwa na msaada sn maana mm ni mpaka ni-click kufungua mechi husika (i.e. moja moja) na kuchagua 2+ ... basi kukiwa na ile kitu ya Server error, unashangaa umefika timu ya 15 kwny kokoro, mara zimefutika zote uanze upya.

Mkuu km unaweza kuscreenshot jinsi ya kufilter itakuwa poa zaidi.
 
Back
Top Bottom