nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
mbona watu hawalalamiki, kulikoni?
Itakuwa wanaugulia chooni mana sio kwa surprise za leombona watu hawalalamiki, kulikoni?
Wakubwa wamechana mikeka tena wengi unakumbuka weekend iliyopita alichana benfica pekeyake alitukanwa humu hatarimbona watu hawalalamiki, kulikoni?
Pole sana,ila ulikuwa umesuka haswa,stake ya 250Huwez amini cashout ilifika laki 5 hiv nikaacha ikabaki mechi ya saa 7 sao paulo na odd yake ya 1.38 ikachana ila nimejifunza kitu
View attachment 3480095
Bet Of The Day ⚽
Code👉 ZQ3S7
📌 Pata Bonus Ya Mpaka 300,000 Ukijisajili PariPesa Kwa Kutumia Promo Code👉 TIPS2424 Na Ukideposit Leo
Jisajili Hapa⤵️
https://paripesa.bet/tips2424
https://paripesa.bet/tips2424
Promo Code👉 TIPS2424
App Link: https://paripesa.bet/tips2424app
Jiunge Telegram Hapa👉 Kayombo Tips ⚽🥎🏈🎾🎱🏀
Imetoka 1-1 ftHello wadau,
Kuna anaecheki game ya Tottenham Hotspur kama anadalili za kupata Goli...? Au Nicash out tuu kidgo kilichopo kuokoa jahazi??
Haujawahi kupiga mshindo kila siku vipesa vya ngama tu na kupoteza muda.Nilitaka ku cash out kumbe pesa ipo adriz The Consigliere njoo upata bagia mbili sasa hivi 😁 mimi nacheza pesa ndogo ndogo tu
KWA HOJA HII ULIYO TOA ....Tatizo lenu nyinyi makafiri wa kikristo na kiislamu amjui kuwa kamari ni HARAMU KWA SABABU GANI ...Kitu chochote kikiwa kinatumika vibaya ni haramu hata URAFI ...ULEVI ...KAMARI....Baadhi ya vitu vilikuwa halali ila vilharamishwa kutokana na watu kuvitumia vibaya kwa uchu na kuruhusu akili zao kutawaliwa na hivyo vitu ....mimi nacheza kamari ya beti ya mipira tu kwa sababu ni kamari ya haki nakula kwa haki na naliwa kwa haki ...pia uchezaji wangu unanipa fulsa ya kubetia pesa ya kanji ..faida ya ubetiji wangu ni nyingiHaujawahi kupiga mshindo kila siku vipesa vya ngama tu na kupoteza muda.