Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sportybet imekua ya ajabu sana. Yani niweke bet toka jumamosi na timu zote zimemaliza fresh ila bado wenyewe wanazuga hawajapata matokeo 🙆🏻‍♂️🥲
 

Attachments

  • E9F64002-5039-4950-9B25-870E308FC3D6.png
    E9F64002-5039-4950-9B25-870E308FC3D6.png
    148.2 KB · Views: 25
KWA HOJA HII ULIYO TOA ....Tatizo lenu nyinyi makafiri wa kikristo na kiislamu amjui kuwa kamari ni HARAMU KWA SABABU GANI ...Kitu chochote kikiwa kinatumika vibaya ni haramu hata URAFI ...ULEVI ...KAMARI....Baadhi ya vitu vilikuwa halali ila vilharamishwa kutokana na watu kuvitumia vibaya kwa uchu na kuruhusu akili zao kutawaliwa na hivyo vitu ....mimi nacheza kamari ya beti ya mipira tu kwa sababu ni kamari ya haki nakula kwa haki na naliwa kwa haki ...pia uchezaji wangu unanipa fulsa ya kubetia pesa ya kanji ..faida ya ubetiji wangu ni nyingi
1)ninakuwa na furaha muda wote siwazi kupoteza pesa nyingi maana nazingatia kubetia pesa ya kanji
2)napata elfu 5 ya vocha kila siku
3)napata pesa ya chai elfu 3 kila siku
4)napata uzoefu wa kuja kubeti pesa ndefu na kula
5)siku nikila milioni moja naweza kuanza kuweka mikeka ya sh 50000 odds chashe chini ya 7 tayari uzoefu wa odds chache ninakuwa nimeupata kwa aina hii ya ubetiji ...
Ubetiji
 
Jana ilikuwa noma sana mtajo unakata ngoja nijaribu h9zi odds 4

54PP1C
 

Attachments

  • Screenshot_20250929-182841_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250929-182841_SportyBet.jpg
    73.9 KB · Views: 22
wakali wa basketball. Euroleague, ligi namba 2 kwa ukubwa duniani inaanza kesho.

msimu wa ligi kubwa za basketball umeshaanza (september mpaka may).

wale wenzangu na mimi tusioijulia basketball, hiki ni kipindi chetu cha kujifunza kubet basketball.
 
Kipindi cha kwanza throw ins 6 tu kudadeki 😂😂😂😂 yani mpira ulikuwa unachezwa ukatoka kwenye touch line mara 6 tu kwa dakika 45. Hata Barca vs Bayern haiwezi kuwa hivi. Kesho ukiweka under throw ins zinakuja 28 first half pekeyake...hii ajira mafao yake sijui yatakuaje huko mbele!
 
Normal Bet 2 Odds

Mbeya City – Young Africans✅

Kairat Almaty – Real Madrid✅

Pafos FC – Bayern Munchen✅

Galatasaray – Liverpool✅

Jiunge Katika Group Letu:

 
Kipindi cha kwanza throw ins 6 tu kudadeki 😂😂😂😂 yani mpira ulikuwa unachezwa ukatoka kwenye touch line mara 6 tu kwa dakika 45. Hata Barca vs Bayern haiwezi kuwa hivi. Kesho ukiweka under throw ins zinakuja 28 first half pekeyake...hii ajira mafao yake sijui yatakuaje huko mbele!
Timu gani hizo?.... Juzi Atalanta vs Juventus walinilaza na viatu na mimi kwa throw in hizo hizo.
 
Back
Top Bottom