Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Hiyo mikeka ya sportybet ndio halisi stake kubwa halafu katofautisha betting markets..hiyo mengine ni ngumu kumeza stake kubwa namna hiyo halafu umarudia betting market ikichana moja upo tayari kupoteza zote hii hapana aisee!Huyu jamaa atengwe, wakuitwa Pro PunterView attachment 3480577View attachment 3480578View attachment 3480579View attachment 3480580View attachment 3480581
UbetijiKWA HOJA HII ULIYO TOA ....Tatizo lenu nyinyi makafiri wa kikristo na kiislamu amjui kuwa kamari ni HARAMU KWA SABABU GANI ...Kitu chochote kikiwa kinatumika vibaya ni haramu hata URAFI ...ULEVI ...KAMARI....Baadhi ya vitu vilikuwa halali ila vilharamishwa kutokana na watu kuvitumia vibaya kwa uchu na kuruhusu akili zao kutawaliwa na hivyo vitu ....mimi nacheza kamari ya beti ya mipira tu kwa sababu ni kamari ya haki nakula kwa haki na naliwa kwa haki ...pia uchezaji wangu unanipa fulsa ya kubetia pesa ya kanji ..faida ya ubetiji wangu ni nyingi
1)ninakuwa na furaha muda wote siwazi kupoteza pesa nyingi maana nazingatia kubetia pesa ya kanji
2)napata elfu 5 ya vocha kila siku
3)napata pesa ya chai elfu 3 kila siku
4)napata uzoefu wa kuja kubeti pesa ndefu na kula
5)siku nikila milioni moja naweza kuanza kuweka mikeka ya sh 50000 odds chashe chini ya 7 tayari uzoefu wa odds chache ninakuwa nimeupata kwa aina hii ya ubetiji ...
Lazima wataiyona tu Nguvuyabwana 😁au sio mkuu ila Hongera mkuu umembaburaSportybet imekua ya ajabu sana. Yani niweke bet toka jumamosi na timu zote zimemaliza fresh ila bado wenyewe wanazuga hawajapata matokeo 🙆🏻♂️🥲
Na zimepigwa mbugi hapa 5-1 za maana😃Sportybet imekua ya ajabu sana. Yani niweke bet toka jumamosi na timu zote zimemaliza fresh ila bado wenyewe wanazuga hawajapata matokeo 🙆🏻♂️🥲
Ukituliza wio beri hiyo Jana wansemjeJana ilikuwa si SIKU ya kubet walahi
PamojqOdds 11 Betway, Timu 12.
BW15256FD8
😁huu kama unakwenda kutotoa naona unamimba kubwaJana ilikuwa noma sana mtajo unakata ngoja nijaribu h9zi odds 4
54PP1C
Hapo mbona sielewi kwenye mech ya tottenham??Sportybet imekua ya ajabu sana. Yani niweke bet toka jumamosi na timu zote zimemaliza fresh ila bado wenyewe wanazuga hawajapata matokeo 🙆🏻♂️🥲
Timu gani hizo?.... Juzi Atalanta vs Juventus walinilaza na viatu na mimi kwa throw in hizo hizo.Kipindi cha kwanza throw ins 6 tu kudadeki 😂😂😂😂 yani mpira ulikuwa unachezwa ukatoka kwenye touch line mara 6 tu kwa dakika 45. Hata Barca vs Bayern haiwezi kuwa hivi. Kesho ukiweka under throw ins zinakuja 28 first half pekeyake...hii ajira mafao yake sijui yatakuaje huko mbele!