vitimu vingine vya Taifa Ulaya hata Taifa Stars inavibamiza.
North Macedonia yuko home. mechi yake muhimu anayotakiwa kushinda, first eleven kaanza na mabeki watano. yuko serious kweli huyu?!!. anashambuliwa hatari. anacheza na kibonde Kazakhstan.
Baada ya jana na juzi mechi za Africa kutoa magoli machache leo mechi ya mapema tayari ina magoli 4 ndio kwanza dakika ya 50 ππππ . wazee wa under mpo?