Mmh,bil!!?Wakuuu kuna mwanangu hapa dah kala bilion 2 na m700.
Sportybet toka saa kumi jioni.
Haamini yani.
Subir wkendJamani naomba odds 10 tu sportybet
Kuna jamaa ana dili na basket leo siku ya 6 anapiga tuWakuu kuna mtu ashawahi kufanya rollover ya hvi akatoboa?
57B5QJJamani naomba odds 10 tu sportybet
Huwezi kumla kanji mara kumi mfululizoWakuu kuna mtu ashawahi kufanya rollover ya hvi akatoboa?
Hii KWENYE football iondoe Mimi naenda siku Tano odd zikiwa chini ya mbili ila nacheza zaidi basket mpria siujuiWakuu kuna mtu ashawahi kufanya rollover ya hvi akatoboa?
wakali wa kubet waliokua wanatupa madini. wametuacha na ujuaji wetu. baadhi yetu humu ndani tuna ujuaji mwingi.Nikikumbuka uzi ulivyokuwa wamoto siku za nyuma nashindwa kuamini kama ndo uzi huuhuu uliolala usingizi wa mauti! Wakamalia wamenyoosha mikono!
Uzi umedoda kabisa. Labda kuna site nje ya JF wadu wamekimbilia huko.wakali wa kubet waliokua wanatupa madini. wametuacha na ujuaji wetu. baadhi yetu humu ndani tuna ujuaji mwingi.
acha tule jeuri yetu wajinga sisi
JF ni zaidi ya sources nyingine za huko nje. madini yanayotemwa humu mtu hawezi akapakimbia akaenda sehemu nyingine.Uzi umedoda kabisa. Labda kuna site nje ya JF wadu wamekimbilia huko.
Kusema ukweli enzi nishamfumuaga sana kanji sababu ya wataalamu wa humu la maboya wakaletaga ujuaji sasa hivi ni tabi tupu kwa kweliJF ni zaidi ya sources nyingine za huko nje. madini yanayotemwa humu mtu hawezi akapakimbia akaenda sehemu nyingine.
ukiona hivyo ujue kuna maudhi humu, ndiyo maana wataalam wamepasusa
kipindi kile wataalam walikuwa hawana baya. wanajipinda wanachambua mechi wanasuka mikeka wanatuletea codes kiroho safi.Kusema ukweli enzi nishamfumuaga sana kanji sababu ya wataalamu wa humu la maboya wakaletaga ujuaji sasa hivi ni tabi tupu kwa kweli
Betting haina utaalamu ndugu. Kikubwa ni nidhamu.JF ni zaidi ya sources nyingine za huko nje. madini yanayotemwa humu mtu hawezi akapakimbia akaenda sehemu nyingine.
ukiona hivyo ujue kuna maudhi humu, ndiyo maana wataalam wamepasusa