Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

😀 Moderator sikia kilio chetu kwani wewe ubetigi huoni huyu msumbufu Kamotee msumbufu
Wewe jamaa taja usumbufu wangu ni upi Hapa? Nimetukana au nimefanyaje? Kupost mikeka ni usumbufu? Taja kosa langu kubwa hapa ni lipi ambalo wewe hufanyi hapa. Maana kama ni kuandika na wewe una andika, kama ni kupost mikeka na wewe unapost. Labda tufungiwe wote maana na wewe huwa unapost mikeka Hapa. Halafu pia acha wivu mkuu. Badala ya kushukuru mimi nafanya uzi unakuwa hai wewe unasema nifungiwe. Acha hizo bwana
 
Screenshot_20251028-032807.jpg

Hawa jamaa ni wagumu wa cashout ... Yaani sijawahi onaga cash out ... Sasa treni la kona under 12.5 mechi 39 zimebaki 3 ..jamaa hata karushwa kakushawishi hatoi....
 
View attachment 3494904
Hawa jamaa ni wagumu wa cashout ... Yaani sijawahi onaga cash out ... Sasa treni la kona under 12.5 mechi 39 zimebaki 3 ..jamaa hata karushwa kakushawishi hatoi....
Ukiona umepewa cashout / Cashout imefunguka kwa hayo makampuni shoga zake 1x... elewa hiyo code ina 99 💯 ya kuwin...USICHUKUE!

Hao hawabahatishagi kukupa pesa za bure kama hawa jamaa zetu tuliowazoea.
 
Ukiona umepewa cashout / Cashout imefunguka kwa hayo makampuni shoga zake 1x... elewa hiyo code ina 99 💯 ya kuwin...USICHUKUE!

Hao hawabahatishagi kukupa pesa za bure kama hawa jamaa zet tu hali tete mechi nyingi
Kampuni za kirusi ni za kitapeli mno
 
Wanangu WA sporty bet source code weka Nigeria
14events
@502.27 odds
11events
@151.71 odds

TD93V​

Kwa Sasa humu matapeli ni wengi kuliko tunafanya beting , HIZO promo code ukifata zinachana bado
 
Wanangu tukatae matapeli wazee WA kutangaza promo za beting na kampuni zao za kitapeli
 
Juma mosi ya kibunda
⚽ Saturday's Betting Tips ⚽

🏴󐁧󐁢󐁥󐁮󐁧󐁿 Tottenham Hotspur 🆚 Manchester United
🕑 08.11.2025
🚨 Prediction: 2️⃣ ➡ BET!

🇩🇪 1. FC Union Berlin 🆚 Bayern Munich
🕑 08.11.2025
🚨 Prediction: 2️⃣ ➡ BET!

🇮🇹 Juventus 🆚 FC Torino
🕑 08.11.2025
🚨 Prediction: 1️⃣ ➡ BET!

🏴󐁧󐁢󐁥󐁮󐁧󐁿 Sunderland AFC 🆚 Arsenal FC
🕑 08.11.2025
🚨 Prediction: 2️⃣ ➡ BET!

🇪🇸 Atlético Madrid 🆚 Levante UD
🕑 08.11.2025
🚨 Prediction: 1️⃣ ➡ BET!

🏴󐁧󐁢󐁥󐁮󐁧󐁿 Chelsea FC 🆚 Wolverhampton Wanderers
🕑 08.11.2025
🚨 Prediction: 1️⃣ ➡ BET!

🇫🇷 AS Monaco 🆚 RC Lens
🕑 08.11.2025
🚨 Prediction: 1️⃣ ➡ BET!
 
Bp tuchambue apo
 
Attachments

  • Screenshot_20251108_142751.jpg
    Screenshot_20251108_142751.jpg
    103.6 KB · Views: 31
Wanangu tukatae matapeli wazee WA kutangaza promo za beting na kampuni zao za kitapeli
wanaoingiza watu chaka wamekuja wengi sana humu, tumewaambia ukweli wamepotea.

huyu Kamotee au Ser atakua na matatizo siyo bure. pamoja na kumwambia maneno makali na shit nyingi. bado yupo. tena kazidisha kabisa anashindana na sisi tuko wengi. kushindana kwake anataka comment yake iwe ya mwisho muda wote, ili mtu akija anaiona.

tulikosea wenyewe tulipomkaribisha alipokua bado mgeni. codes zake zikiboom tulikua tunampongeza kwa kumwambia "we jamaa noma". matokeo yake katupanda kichwani.

dawa yake ni moja tu, tumwachie uzi. mwache ashindane acomment peke yake. akiona anacomment peke yake atatuachia uzi wetu.
 
Hivi wewe jamaa mimi naingizaje watu chaka? Kwamba nikisema mtu ajisajili kwa kutumia Promo Code👉TIPS2424 hapo unakuwa umeingia chaka? Kwamba Ukitumia Promo Code👉TIPS2424 Kujisajili utakuwa unaliwa mikeka yako au? Mbona unatafuta kichaka cha kujificha wewe jamaa? Kuna wengi wanatumia kampuni zisizo za Kirusi, je wana shinda kila siku? Mbona mnapost Code za Sportybet na Betpawa na hatuoni boom hata moja miezi hadi miezi? Shida nini? Ngoja nikuambie kitu "Your the problem and you are the solution".
 
Back
Top Bottom