Mkuu nimeuaje uzi? Mbona unatafuta kichaka cha kujificha? Mkuu uzi umekufa kwa sababu Code zinazo postiwa hapa hazitoi. Watu mnaweka Code hapa zina lost sana. Kwa hiyo mimi kupost mikeka yenye Promo Code👉TIPS2424 ndiyo nimeua uzi? Mbona mnapost mikeka ya kampuni zisizo kuwa na matangazo na hatuoni ushindi wowote humu? Leta Code hapa watu tubet leo acha kujificha eti nimeua uzi. Hujui kama JamiiForums ilifungiwa na unahitaji VPN kuingia humu na hilo pekee linapunguza watu wengi kuja humu? Hata ilipofungiwa X watumiaji wamepungua sana. Pia kama issue ni mimi kuna option ya ku ignore, press Ignore button then you won't see a damn post from me.